MAOMBI YA KUFUNGA – SIKU YA TANO 08 JULAI 2022

MAOMBI YA KUFUNGA- SIKU YA TANO- 8 JULAI, 2022

UJUMBE: UMOJA KAMILI KATIKA UPENDO. NENO: YOHANA 17:20-26

1. Omba familia yako iwe na umoja kamili

– Omba kwamba kila mwanafamilia yako atampenda Bwana na familia.

2. Omba kwamba DPC itadumisha umoja

– Ombea washirika wote 

– Ombea viongozi wa huduma mbalimbali 

– Ombea wachungaji na wazee wa Kanisa

– Omba waamini wote kuwa  waaminifu kwenye neno la Mungu.

3. Ombea nchi ya Tanzania iendelee kuwa na Amani na idadi ya  waamini iongezeke.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top