SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – JANUARI 22, 2024.BARAKA INAYOTOKANA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU KWA MALI ZETU.

BARAKA INAYOTOKANA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU KWA MALI ZETU. 

DAR ES SALAAM PENTECOSTAL CHURCH.

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – JANUARI 22, 2024

BARAKA INAYOTOKANA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU KWA MALI ZETU. 

Kumb 15:9-10, KUMB 28:12, WAFILIPI 4:19

1. Omba Mungu abariki kazi za mikono yetu ili tuwe na uchumi imara.

– Kwa ajili yako Binafsi na Familia yako. Omba kwamba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema.Ombea shughuli za kiuchumi. 3 Yohana 1:2, Mithali 3:5-6

– Tutakapofanikiwa tumtumikie na mali zetu. Mithali 3:9-10

2. Omba kwa ajili ya washirika wa DPC, Omba kwa ajili ya afya zao na kazi zao, Biashara na shughuli zote za kiuchumi.

3. Ombea Uchumi wa Kanisa upate kukua na Kuongezeka ili kufanikisha huduma mahali hapa. 

– Omba kwa ajili ya DPC na miradi yote.

– Omba kwa ajili ya uchumi wa DPC Dodoma kukua na kuimarika.

4. Omba kwa ajili ya watu ambao wako tayari kumtumika Mungu kwa mali zao. (Hapa Dpc na Makanisa ya PAG) Nehemia 7:70 , 1 Nyakati 29:12-14

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top