21 DAYS OF PRAYER AND FASTING: THURSDAY – 20/01/2022: THE BLESSINGS OF GOD
- Pray for God’s blessings for yourself and your family.
- Pray for spiritual, physical, economical, and educational blessings
- Pray that God will help us to keep His commands and walk in obedience to Him
Deuteronomy 28:1-14
2. Pray for God’s favor to open closed doors for you, your family and DPC members.
- Pray for God to bless the work of our hands (study, business, employment)
- Pray for God to bless and grow His work at DPC and the entire PAG Tanzania
- Pray against evil spirits hindering your blessings and favor from God
Revelation 3:8; Daniel 10:11-14
3. Pray for the Holy Spirit to unite the church of PAG Tanzania
- Pray for unity and collaboration among PAGT churches
- Pray that PAGT will be connected with the right partners for the sake of ministry growth and efficiency John 17: 20-24
4. Thank God for His Blessings, Grace and Favor upon your life, family and the entire church
Ephesians 1:3
SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA: ALHAMISI – 20/01/2022: BARAKA ZA MUNGU
- Omba baraka za Mungu kwa ajili yako na familia yako.
- Baraka za kiroho, kimwili, kiuchumi, na kielimu
- Omba kwamba Mungu atusaidie kushika maagizo yake na kumtii yeye
Kumb. la Torati 28:1-14
2. Omba kibali cha Bwana kifungue milango iliyofungwa mbele yako, familia yako na DPC.
- Omba Mungu aibariki kazi ya mikono yako (shule, biashara, kazi)
- Omba Mungu abariki na kukuza kazi yake hapa DPC na PAGT kwa ujumla
- Omba kinyume na roho chafu zinazozuia baraka na kibali chako kutoka kwa Mungu
Ufunuo 3:8; Daniel 10:11-14
3. Omba Roho Mtakatifu aunganishe kanisa la PAG Tanzania
- Ombea umoja na ushirikiano ndani ya makanisa ya PAG Tanzania
- Ombea PAGT ipate na kuunganishwa na washirika wenza sahihi kwa ajili ya kuendeleza/kukuza kazi ya Mungu. Yohana 17:20-24
4. Mshukuru Mungu kwa Baraka, Neema na Kibali juu yako, familia na kanisa kwa ujumla
Waefeso 1:3