DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: FRIDAY, 28/01/2022 – SPIRITUAL WARFARE
- Ask the Holy Spirit:
• To help you submit under God’s mighty hand – 1 Peter 5:6
• To help you be strong in the Lord and in the power of His might.
• Ask the Holy Spirit to help you put on the full armor of God. Ephesians 6:10-18 - Pray against the powers of darkness that have risen to resist God’s purpose in your life. 2 Corinthians 10:3-5
• Pray for protection over yourself and your family. Psalms 91
• Ask God to restore all that the enemy has stolen in your life. Joel 2:25 - Pray against the powers of darkness that have risen to resist God’s work from continuing.
• Destroy every plan of the enemy against the church.
• Rebuke the powers of darkness that cause spiritually stagnation
• Rebuke the powers of darkness that weaken churches and cause them not to grow. Matthew 18:19; Jeremiah 1:10; Luke 10:19 - Thank God for the victory that we have through Christ Jesus. Romans 8:35-37
DPC-SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA WIKI YA TATU
IJUMAA 28/01/2022: VITA VYA KIROHO.
- Omba Roho Mtakatifu:
• Akusaidie kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu. 1 Peter 5:6.
• Akusaidie Uwe imara katika nguvu na uweza wa Bwana.
• Omba Roho Mtakatifu akusaidie Kuzivaa silaha zote za Mungu
Waefeso 6:10-18. - Omba kinyume na nguvu za giza zinazopinga kusudi la Bwana katika maisha yako.
2 Wakoritho 10:3-5.
• Omba ulinzi juu yako na familia yako mwenyewe. Zaburi 91.
• Omba Mungu arejeshe kila kilichoibiwa na adui katika maisha yako. Yoel 2:25. - Omba Kinyume na nguvu za giza zinazopinga kazi ya Mungu isiendelee.
• Haribu kila mipango ya adui kinyume na Kanisa.
• Kemea nguvu za giza zinazosababisha watu wadumae kiroho,
• Kemea nguvu za giza zinazodhoofisha makanisa yasikue. Mathayo 18:19. Yeremia 1:10. Luka 10:19. - Mshukuru Mungu kwa ushindi tulionao katika Kristo Yesu. Warumi 8:35-37