WEEK TWO-SATURDAY 22/01/2022:
SHOWING GOD’S LOVE
- Pray for the Holy Spirit to fill you with godly love;
▪️ For other people because we are commanded to love one another and to show the love of Jesus Christ.
▪️ Seeing the Love of God in us, people will come to Jesus.
John 13:34-35 1Corinthians 13:1-13 - Pray for all people in need in the Church;
▪️For God to bless them and
▪️Meet their daily needs. Galatians 6:2. - Pray for the Department of Social Development and Welfare Services in the PAG churches in Tanzania at all levels.
▪️National level
▪️State level
▪️District level
▪️Local church level - Ask God to give us compassion, to empower us and guide us on how to serve the community around us.
▪️That we will minister to them Spiritually “as Jesus’ Ambassadors”
▪️Meet Their Physical Needs.
▪️Influence development in our areas. Acts 6:1-7, Matthew 25:34-46.
▪️That we will minister to them Spiritually “as Jesus’ Ambassadors”
▪️Meet Their Physical Needs.
▪️Influence development in our areas. Acts 6:1-7, Matthew 25:34-46.
DPC-SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA
WIKI YA PILI-JUMAMOSI 22/01/2022: KUONYESHA UPENDO WA MUNGU.
- Omba Roho Mtakatifu akujaze upendo wa Ki Mungu;
▪️ Kwa ajili ya watu wengine maana tumeagizwa tupendane na tuonyeshe upendo wa Yesu Kristo.
▪️Watu watakuja kwa Yesu wakiona Upendo wa Mungu ndani yetu. Yohana 13:34-35, 1 Wakorintho 13:1-13. - Ombea watu wote wenye mahitaji katika Kanisa;
▪️Mungu awabariki na
▪️Akutane na mahitaji yao ya kila siku. Wagalatia 6:2 - Omba kwa ajili ya Idara ya Huduma za Maendeleo ya Jamii katika kanisa la PAG Tanzania katika ngazi zote.
▪️Ngazi ya Taifa
▪️Ngazi ya Jimbo
▪️Ngazi ya Wilaya
▪️Ngazi ya kanisa la mahali - Omba Mungu atupe mzigo, atuwezeshe na atuongoze jinsi ya kuhudumia jamii iliyotuzunguka.
▪️Kuwahudumia Kiroho “kama mabalozi wa Yesu”
▪️Kukutana na mahitaji yao ya Kimwili.
▪️Kuwa chachu ya maendeleo katika maeneo yetu. Matendo 6:1-7, Mathayo 25:34-46.