PANEL DISCUSSION ON INSURANCE (MJADALA KUHUSU BIMA)

MEN’S MINISTRY. The DPC men’s ministry has prepared a panel discussion on insurance on December 2, 2023, here at DPC from 8:00 a.m. to 10:30 a.m. It will be an opportunity for the insurance industry experts to share with us the benefits of insurance, both from a consumer and business angle. The session is aimed at addressing, among others, the following topics: i. Overall understanding of the insurance industry. ii. Medical insurance coverage and plans: – What are the best products for an individual and their family? – How can one support the extended family, parents, etc.? iii. What are the business opportunities in the industry, and how do I start and tap into the opportunities? iiii. Insurance claim procedures.

To Register Contact +255 754 710 359

HUDUMA YA WANAUME: Huduma ya wanaume wa DPC imeandaa mjadala kuhusu bima siku yay a Jumamosi tarehe 02 Desemba 2023, hapa kanisani kuanzia saa 2:00 hadi saa 4:30 asubuhi Tukio hili ni fursa nzuri ya kukutanishwa na wataalamu wa bima ambao watatupa maarifa ya bima kwa mtumiaji huduma na kwa wale wanaotaka kujihusiha na biashara ya bima. Mada zitakazojadiliwa ni pamoja na;
i. Ufahamu wa sekta ya bima
ii. Bima ya afya:

  • Bima ya aina gani ni bora kwa mtu binafsi au familia?
    • Nawezaje kuwasaidia ndugu na jamaa wa karibu, wazazi n.k.? iii. Ni fursa gani za uwekezaji na biashara katika sekta ya bima na namna gani naweza kuziteka?
      iv. Utaratibu wa kudai fidia Tukio hili linalenga watu wote.
      Kifungua kinywa kitapatikana ka bei nafuu. Tafadhali usikose fursa hii muhimu na waalike wengine.

Kujiandikisha wasiliana na +255 754 710 359

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top