{"id":7648,"date":"2022-03-27T10:30:00","date_gmt":"2022-03-27T07:30:00","guid":{"rendered":"https:\/\/dpc.or.tz\/?post_type=ctc_sermon&#038;p=7648"},"modified":"2023-01-07T18:36:48","modified_gmt":"2023-01-07T15:36:48","slug":"pokea-uweza-wa-kiungu-kwa-ajili-ya-hatima-yakosafari","status":"publish","type":"ctc_sermon","link":"https:\/\/dpc.or.tz\/?ctc_sermon=pokea-uweza-wa-kiungu-kwa-ajili-ya-hatima-yakosafari","title":{"rendered":"POKEA UWEZA WA KIUNGU KWA AJILI YA HATIMA YAKO"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>POKEA UWEZA WA KI MUNGU KWA AJILI YA HATIMA YAKO<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">2 PETRO 1:3-4&nbsp;<em>Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong><em>2Pe 1:4<\/em><\/strong><em>&nbsp; Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa<\/em>.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Nguvu ya Kiungu hutoka kwa Roho mtakatifu<\/li>\n\n\n\n<li>Nguvu ya Kiungu imetukirimia vitu vyote vipavyo uzima na utaua<\/li>\n\n\n\n<li>Kupitia nguvu ya Ki Mungu tunakwa washirika wa tabia ya Ki Mungu.<\/li>\n\n\n\n<li>Nguvu ya ki Mungu hutuwezesha kuishi maisha ya ushindi.&nbsp;<\/li>\n\n\n\n<li>Tunahitaji nguvu ya Ki Mungu kutimiza kusudi la Mungu hapa duniana.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">KUTIWA NGUVU NA ROHO MTAKATIFU<\/p>\n\n\n\n<ol class=\"wp-block-list\" type=\"1\">\n<li><strong>JAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU<\/strong><\/li>\n<\/ol>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">MATENDO 1:4-5<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>1:4&nbsp; Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu;&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>1:5&nbsp; ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>1:8&nbsp; Lakini mtapokea nguvu, akiisha<\/em>&nbsp;kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Yesu alisema mstoke mpaka mmepokea nguvu za Roho mtakatifu<\/li>\n\n\n\n<li>Ndipo mtaweza kuwa mashahidi wangu.<\/li>\n\n\n\n<li>Mtaweza kushinda<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">MATENDO&nbsp;&nbsp;2:1-4&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>ct 2:1&nbsp; Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Act 2:2&nbsp; Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Act 2:3&nbsp; Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Act 2:4&nbsp; Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Roho mtakatifu aliwajaza nguvu za Ki Mungu&nbsp;&nbsp;ms e<\/li>\n\n\n\n<li>Ujazo wa Nguvu za Roho mtakatifu . Matendp 2:38-39<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>ct 2:38&nbsp; Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.&nbsp;<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Act 2:39&nbsp; Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie.<\/em><\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Unapojazwa nguvu za Roho Mtaktifu, ROHO MTAKATIFU HUKUSAIDIA&nbsp;&nbsp;KUABUDU&nbsp;&nbsp;katika roho na kweli. Ms 2:11<\/li>\n\n\n\n<li>Walipo jazwa nguvu za Roho mtaktifu walinena kwa lugha mpya<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Unapo omba kwa lugha mpya unaongea na Mungu<\/li>\n\n\n\n<li>Unaongea&nbsp;&nbsp;&nbsp;mambo ya siri katika roho yaka<\/li>\n\n\n\n<li>Hujijenga nafsi yake<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Walipojazwa nguvu za Roho mtakatifu maisha yao yalibadiliswa,<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>ONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU&nbsp;<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>ROMANS 8:13-14<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Rom 8:13&nbsp; kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Rom 8:14&nbsp; Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Wana wa Mungu huongozwa na Roho Mtakatifu hawaongozwi&nbsp;<\/li>\n\n\n\n<li>Wote walio mpokea Yesu wamefanyika watoto wa Mungu, wamezaliwa Kwa Roho Mtkatifu.<\/li>\n\n\n\n<li>Roho mtaktifu huwapa nguvu ya kushinda dhambi, hawako tena chini ya sharia ya dhambi.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>TUMEPEWA NGUVU YA KUSHINDA DHAMBI<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Rom 8:1&nbsp; Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Rom 8:2&nbsp; Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>ISHI KWA KUFUATA MATAKWA YA ROHO MTAKATIFU<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Wagalatia 5:16 Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Wagalatia 3:24-25<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Gal 5:24&nbsp; Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Gal 5:25&nbsp; Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>TUMIWA NA ROHO MTAKATIFU<\/strong><strong><\/strong><\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Matendo&nbsp;&nbsp;6:3<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 6:3&nbsp; Basi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, wenye kujawa na Roho, na hekima, ili tuwaweke juu ya jambo hili;&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Matendo 6:5-6<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>ct 6:5<\/strong>&nbsp; Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia;&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">MATENDO 6:8<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Act 6:5<\/strong>&nbsp; Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia;&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Roho Mtakatifu hutupa uwezo wa kufanya mambo Zaidi ya uwezo wa Kibinadamu<\/li>\n\n\n\n<li>Hutupa karama za kiroho ili tutumike kwa kiwango cha Ki Mungu<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">R<strong>OHO MTAKATIFU HUTUPA NGUVU ZA KUTUWEZESHA KUSHINDA CHANGAMOTO NA VIZUIZI<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>MATENDO 13:6-12&nbsp;<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">ct 13:6&nbsp; Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:7&nbsp; mtu huyu alikuwa pamoja na liwali Sergio Paulo, mtu mwenye akili. Yeye liwali akawaita Barnaba na Sauli waje kwake, akataka kulisikia neno la Mungu.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:8&nbsp; Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:9&nbsp; Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:10&nbsp; akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:11&nbsp; Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Act 13:12&nbsp; Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>ROHO MTAKTIFU HUKUPA NGUVU YA KUHAMISHA MILIMA<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u00a0Zakaria 4:6-7\u00a0<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&nbsp;ec 4:6&nbsp; Akajibu akaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Zec 4:7&nbsp; Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">POKEA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Uwe na kiu ya kupokea<\/li>\n\n\n\n<li>&nbsp;Kama haujaoka mwamini yesu na umopokee kama mwokozi wa maisha yako.<\/li>\n\n\n\n<li>Uwe na Imani ya kwamba ukiomba utapokea<\/li>\n<\/ul>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>POKEA UWEZA WA KI MUNGU KWA AJILI YA HATIMA YAKO 2 PETRO 1:3-4&nbsp;Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":6268,"comment_status":"open","ping_status":"closed","template":"","meta":{"jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":false,"jetpack_social_post_already_shared":true,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"ctc_sermon_topic":[],"ctc_sermon_book":[],"ctc_sermon_series":[],"ctc_sermon_speaker":[282],"ctc_sermon_tag":[],"class_list":["post-7648","ctc_sermon","type-ctc_sermon","status-publish","has-post-thumbnail","hentry","ctc_sermon_speaker-rev-safari-paul"],"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/ctc_sermon\/7648","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/ctc_sermon"}],"about":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/ctc_sermon"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=7648"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/ctc_sermon\/7648\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":7651,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/ctc_sermon\/7648\/revisions\/7651"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/6268"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=7648"}],"wp:term":[{"taxonomy":"ctc_sermon_topic","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fctc_sermon_topic&post=7648"},{"taxonomy":"ctc_sermon_book","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fctc_sermon_book&post=7648"},{"taxonomy":"ctc_sermon_series","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fctc_sermon_series&post=7648"},{"taxonomy":"ctc_sermon_speaker","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fctc_sermon_speaker&post=7648"},{"taxonomy":"ctc_sermon_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fctc_sermon_tag&post=7648"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}