{"id":9316,"date":"2025-10-01T19:00:00","date_gmt":"2025-10-01T16:00:00","guid":{"rendered":"https:\/\/dpc.or.tz\/?p=9316"},"modified":"2025-10-02T12:52:48","modified_gmt":"2025-10-02T09:52:48","slug":"kutembea-hatua-kwa-hatua-na-roho-mtakatifu","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/dpc.or.tz\/?p=9316","title":{"rendered":"KUTEMBEA HATUA KWA HATUA NA ROHO MTAKATIFU."},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>KUTEMBEA HATUA KWA HATUA NA ROHO MTAKATIFU<\/strong>. Wagalatia 5:25.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Wagalatia 5:25 ni Mstari wetu wa kusimamia \u2013 Mstari Mkuu au Mada au Dhamira ya Week Hii Ya Vijana.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Wengi husema kwamba Roho Mtakatifu hahitaji utambulisho kwa sababu, katika imani ya Kikristo, Yeye yupo daima, ana nguvu, na anajulikana kwa karibu na wale wanaotembea katika imani. Mara nyingi huelezwa kama pumzi ya Mungu mwenyewe, Roho Mtakatifu hatambulishwi tu <strong>bali <\/strong><strong>anathibitishwa Kimatendo<\/strong> \u2014 akituongoza, akitufariji, akituonya, na kutupa uwezo wa kiroho.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Hata hivyo, kwa ajili ya kuelewa, Tunajifunza kuhusu Roho Mtakatifu kupitia Maandiko au ushuhuda wa kibinafsi \u2014 si kumtambulisha kana kwamba ni mgeni, bali kuwasaidia wengine <strong>watambue uwepo wake na kazi yake.<\/strong><strong><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em><strong>Hebu Tuutafakari Mstari Mkuu.<\/strong><\/em><em><strong><\/strong><\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho\u2026<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>Tukiishi kwa Roho&#8230;\u201d<\/strong><strong><br>\u2192 Ikiwa maisha yetu ya kiroho yamefanywa hai katika Kristo kupitia kazi ya Roho), basi&#8230;<\/strong><\/li>\n\n\n\n<li><strong>\u201c&#8230;na tuenende kwa Roho.\u201d<\/strong><strong><br>\u2192 &#8230;basi mwenendo wetu wa kila<\/strong> siku, maamuzi, tabia, na mitazamo inapaswa kuongozwa kikamilifu na Roho huyo huyo \u2014 si tamaa za mwili, si mazoea ya dunia, bali mwelekeo wa kiroho.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Ni Jinsi Gani tunaweza kufanya Maisha yetu Yawe na uhalisia wa Uwepo wa Roho Mtakatifu (Yaani kutembea na Roho Mtakatifu ?<\/strong><\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Turudi Nyuma na tuitazame Ahadi ya Roho Mtakatifu.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kwa kuona umuhimu wa Nguvu hii ya Uwepo wa Roho Mtakatifu, Tazama Maneno yesu aliyoyasema. (Umuhimu wa Kutembea na Roho Mtakatifu unaonekana kwa namna nyingi kweny maandiko lakini \u2013 Uzito Zaidi uko katika maneno aliyoyasema yesu mwwnyewe.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Yohana 16:7 &#8211; Lakini mimi nawaambia kweli; Yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; lakini mimi nikienda, nitampeleka kwenu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Na pia Yesu Aliona Hamna Jisni tunayoweza kuzishinda Nguvu za ulimwengu huu, bila kuwa na Nguvu za Mungu Ndani yetu haya Tunayaona Katika &#8211; Matendo ya Mitume 1:8<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Lakini mtapokea nguvu, Roho Mtakatifu akiwajilia juu yenu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na Yudea yote, na Samaria, na miisho ya dunia.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Nguvu, Tuitazame kwa upana &#8211;<strong>Nguvu<\/strong> ni uwezo, au Ushawishi, wa Kuathiri au kubadilisha kitu Fulani<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">au &nbsp;uwezo wa kushinda.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kuzaliwa Mara Ya Pili \u2013 Ni Kuzaliwa katika Roho Na hii hutokea tunapo tubu dhambi na kumpokea Yesu kua Bwana na Mwokozi wa Maisha yetu \u2013 Roho Mtakatifu ndio chanzo chetu cha kuzaliwa Mara ya Pili. <strong>1 Wakorintho 12:3<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Yohana 16:8<\/strong> <em>\u201cNaye atakapokuja, atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.\u201d<\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Roho Mtakatifu Ndio Hutushawishi (Convict) Kuhusu, Thambi, Haki ya Mungu na Hukumu Ijayo<\/em><em><\/em><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><em>Tunaenendaje kwa Roho<\/em><\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Lazima uwe Umezaliwa Upya -Yohana 3:5\u20136)<\/li>\n\n\n\n<li>Kua mtiifu kwa Uongozi wa Roho Mtakatifu &#8211; Kadri unavyotii, ndivyo sauti ya Roho itazidi kuwa wazi kwako. (Waefeso 4:30)<\/li>\n\n\n\n<li>Jilishe katika Neno la Mungu &#8211; Waefeso 6:17<\/li>\n\n\n\n<li>Hakikisha&nbsp; -Tunda la Roho linadhihirika ndani yako &#8211; Galatia 5:22\u201323 &#8211; Upendo, Furaha, Amani, Uvumilivu, Uaminifu, Ukarimu, Upole, Kujizuia<\/li>\n\n\n\n<li>Omba Mara kwa Mara -Waefeso 6:18<\/li>\n\n\n\n<li>Epuka Kutawaliwa na Mwili -Galatia 5:16)<\/li>\n\n\n\n<li>Fanya ushirika na waaminio<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Inapendeza kuona kua Emphasis ya Roho Mtakatifu Imepewa kipaumbele na Uongozi wa Vijana. Kama Vile Yesu alivyoonyesha Umuhimu wa kuenenda katika Nguvu ya Roho Mtakatifu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUTEMBEA HATUA KWA HATUA NA ROHO MTAKATIFU. Wagalatia 5:25. Wagalatia 5:25 ni Mstari wetu wa kusimamia \u2013 Mstari Mkuu au Mada au Dhamira ya Week Hii Ya Vijana. Wengi husema&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":9318,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_jetpack_newsletter_access":"","_jetpack_dont_email_post_to_subs":false,"_jetpack_newsletter_tier_id":0,"_jetpack_memberships_contains_paywalled_content":false,"_jetpack_feature_clip_id":0,"_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":true,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2},"jetpack_post_was_ever_published":false},"categories":[149,20,22,313],"tags":[],"class_list":["post-9316","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-blog-blog","category-blog","category-news","category-youth-young-adults"],"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/dpc.or.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/10\/YWDAY3-1.jpg","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9316","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=9316"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9316\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":9319,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9316\/revisions\/9319"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/9318"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=9316"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=9316"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/dpc.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=9316"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}