Maombi ya Mahitaji binafsi (Binafsi na Familia). 3 Yohana 1:2, Marko 11:24
1. ULINZI NA UPAJI WA MUNGU KATIKA FAMILIA ZETU. Wafilipi 4:6-7
• Watu wa familia yako waweke imani yao kwa Mungu. Warumi 8:26, Waebrania 5:7
• Upaji wa Mungu: Mathayo 6:25-27 Wafilipi 4:19,
• Nguvu ya kusalimisha suala lako miguuni pa Mungu
• Kupata Hekima na suluhisho la utatuzi kwa njia za vitendo Kupata hekima ya kuwa na namna zinazotekelezeka za kupata suluhisho.
• Ulinzi: – Mungu anaweza kutulinda. Zaburi 61:3, Isaya 35:4, Isaya 41:10
• Kuomba dhidi ya wasiwasi na woga.
2. MAFANIKIO KATIKA FAMILIA ZETU.
o Mungu atujalie afya njema. 3 Yohana 1:2
o Mungu abariki kazi ya mikono yetu. (Kumbukumbu la Torati 28:12).
3. MAOMBI KWA AJILI YA NDOA ZETU.
Ombea walioko kwenye ndoa na ndoa zao.
• (Moyo na macho ya kumwona mtu mwingine kwa macho ya Mungu)
• Utayari wa kusamehe na kutafuta upatanisho (urejesho)
• Kumruhusu Mungu kuwaonyesha mahali anapotaka kuona mabadiliko ndani yao. Waefeso 4:2-3
• Kulindwa dhidi ya ushawishi mbaya ambao unasumbua ndoa kwenye eneo la uaminifu. Waebrania 13:4
• Subira kadri Mungu anavyoikuza ndoa hadi pale anapotaka iwe. Mathayo 19:26
Maombi kwa wale walio katika Maandalizi ya Kuingia kwenye Ndoa.
o Hekima ya kufanya maamuzi yote muhimu ambayo yanawapeleka kwenye hatua yao inayofuata.
o Kunyenyekeana na pia kunyenyekea mbele za Mungu. Waefeso 4:2
o Mtazamo wa kimungu juu ya ndoa na upendo wanaoshiriki. Mathayo 19:6
4. OMBEA NEEMA YA WOKOVU KATIKA FAMILIA YAKO. Waefeso 2:8-10.”
MAOMBI YA KUFUNGA YA KATIKATI YA MWAKA. JUMATANO 19 JULAI 2023