MWAMBIE MTU HABARI ZA YESU[Nyakati hii ya Kristmasi] KIFUNGU:ISAYA 9: 6-7 Maswali ya kujiuliza tunapoingia kipindi hiki cha Kristimasi; Waamini wanatakiwa kufanya nini katika kipindi hiki cha Kristmasi?[Luka 19:10, Yohana…
View SermonPst Philip Patroba
TUNAENDELEA KULITUMAINI JINA LA BWANA, MUNGU WETU
TUNAENDELEA KULITUMAINI JINA LA BWANA,MUNGU WETU KITABUZABURI 20:1-9 Bwana akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue. Akupelekee msaada toka patakatifu pake, Na kukutegemeza toka Sayuni. Azikumbuke sadaka…
View SermonKEEP TRUSTING IN THE NAME OF THE LORD OUR GOD
KEEP TRUSTING IN THE NAME OF THE LORD OUR GOD Main Text: PSALM 20:1-9 Trusting in someone or something does not easily happen. There should be factors contributing to the act…
View SermonMAKE YOURSELF AN ARK
• MAKE YOURSELF AN ARK GENESIS 6:1-22•-God told Noah to make for himself an ark of cypress wood-Because God wanted to judge/destroy the people of that time -Animals, birds & other…
View SermonJIFANYIE SAFINA YAKO
• JIFANYIE SAFINA YAKO MWANZO 6:1-22-Mungu alimwambia Nuhu ajifanyie Safina ya mtiwa mvinje-Kwani Mungu alitaka kuwaangamiza wanadamuwa wakati ule – Maangamizi yalikuwa hadi kwa wanyama, ndege& viumbe vingine-Chanzo cha maangamizi ilikuwa ni uovu mwingiwa mwanadamu.– Isipokuwa Nuhu pekee ndie alipata neemamachoni pa Bwana. •Nini Kilifanya Nuhu Apate Kibali Machoni pa Bwana– Kuishi maisha ya kumpendeza Mungu– Pia, tabia yake ya kutii maelekezo ya Mungu Kabla sijaendelea sana, ningependa tutambue kuwa Safinatunayoingelea inawakilisha juu ya WOKUVU wetu katikaAgano Jipya – WAEB. 2:1-4 Tujifunze kwa Nuhu kwamba kama alivyopewa maagizo yajinsi ya kutengeneza safina, basi nasi tunaelekwezwa jinsiya kutunza wokovu••• Mambo 3 Yaliyofanya Nuhu Apate Kibali mbele za Mungu (Our Take Home Lessons)1. Nuhu alikuwa mtu wa haki 2. Nuhu alikuwa mtu mkamilifu 3. Nuhu alikwenda pamoja na Mungu Ethically, hii nikusema Nuhu aliishi maisha ya Haki, Uadilifu, na Utakaifu. Utakatifu – kwa maana ya hali ya kumuishia ama kumuelekea Mungupekee na katika ujumla wote kwa kutenda katika usafi, uwajibikaji naunyenyekevu (Hill, 2008• •Faida za Kujifanyia Safina Yako – Inampa Mungu kufanya agano lake na wewe…
View SermonIT WILL BE WELL WITH YOU
ISAIAH 3:10 In connection to the last Sunday preaching by Rev. Safari which reminded us to thank God by faith for our breakthrough, to day I would like us again…
View Sermon