• JIFANYIE SAFINA YAKO
MWANZO 6:1-22-Mungu alimwambia Nuhu ajifanyie Safina ya mtiwa mvinje-Kwani Mungu alitaka kuwaangamiza wanadamuwa wakati ule – Maangamizi yalikuwa hadi kwa wanyama, ndege& viumbe vingine-Chanzo cha maangamizi ilikuwa ni uovu mwingiwa mwanadamu.
– Isipokuwa Nuhu pekee ndie alipata neemamachoni pa Bwana.
•Nini Kilifanya Nuhu Apate Kibali Machoni pa Bwana
– Kuishi maisha ya kumpendeza Mungu
– Pia, tabia yake ya kutii maelekezo ya Mungu
Kabla sijaendelea sana, ningependa tutambue kuwa Safinatunayoingelea inawakilisha juu ya WOKUVU wetu katikaAgano Jipya – WAEB. 2:1-4
Tujifunze kwa Nuhu kwamba kama alivyopewa maagizo yajinsi ya kutengeneza safina, basi nasi tunaelekwezwa jinsiya kutunza wokovu•••
Mambo 3 Yaliyofanya Nuhu Apate Kibali mbele za Mungu
(Our Take Home Lessons)
1. Nuhu alikuwa mtu wa haki
2. Nuhu alikuwa mtu mkamilifu
3. Nuhu alikwenda pamoja na Mungu
Ethically, hii nikusema Nuhu aliishi maisha ya Haki, Uadilifu, na Utakaifu.
Utakatifu – kwa maana ya hali ya kumuishia ama kumuelekea Mungupekee na katika ujumla wote kwa kutenda katika usafi, uwajibikaji naunyenyekevu (Hill, 2008•
•Faida za Kujifanyia Safina Yako
– Inampa Mungu kufanya agano lake na wewe
– Inakupa usalama na kukuepusha na hukumu ya Mungu
– Safina yako inakuwa ukombozi hata kwa jamii yako-Safina yako inaweza kutumika kutunza uzao hata wa viumbe vingine-Safina yako haitazamishwa na gharika / changamoto zadunia japokuwa maji au changamoto zaweza ongezeka – MWANZO 7:17•
• Hitimisho •
Kama tutaishi sawasawa na maagizo ya Biblia – hakikatutapata kibali mbele za Mungu wetu
• Ni vyema tukumbuke kuwa tunaishi nyakati ambazotunahitaji sana kujifanyia safina zetu
• Ni kupitia Safina zetu kwamba tutaokolewa kutoka hasiraya Mungu kama tunavyokumbushwa katika UFUNUO 3:11 – kushika sana tulicho nacho, asije mtu akaitwaa tajiyetu – yaani SAFINA/WOKOVU.
• Hii inaweza tu kutokea endapo tunaishi maisha ya haki, ukamilifu na kuzidi kutembea na Mungu siku zote zamaisha yetu.