MWANAUMEBaba, Kaka, Babu, Mjomba, Baba mdogo Mwanaume anafanana zaidi na mwanamke kuliko walivyo tofauti Mwanaume anapaswa kundi katika nafasi yake ili mambo yaende sawa Kwa sababu ya umuhimu amekuwa akipambana…
View SermonSermon Archive
Recent sermons preached by DPC Church pastors and preachers.
MAKE YOURSELF AN ARK
• MAKE YOURSELF AN ARK GENESIS 6:1-22•-God told Noah to make for himself an ark of cypress wood-Because God wanted to judge/destroy the people of that time -Animals, birds & other…
View SermonJIFANYIE SAFINA YAKO
• JIFANYIE SAFINA YAKO MWANZO 6:1-22-Mungu alimwambia Nuhu ajifanyie Safina ya mtiwa mvinje-Kwani Mungu alitaka kuwaangamiza wanadamuwa wakati ule – Maangamizi yalikuwa hadi kwa wanyama, ndege& viumbe vingine-Chanzo cha maangamizi ilikuwa ni uovu mwingiwa mwanadamu.– Isipokuwa Nuhu pekee ndie alipata neemamachoni pa Bwana. •Nini Kilifanya Nuhu Apate Kibali Machoni pa Bwana– Kuishi maisha ya kumpendeza Mungu– Pia, tabia yake ya kutii maelekezo ya Mungu Kabla sijaendelea sana, ningependa tutambue kuwa Safinatunayoingelea inawakilisha juu ya WOKUVU wetu katikaAgano Jipya – WAEB. 2:1-4 Tujifunze kwa Nuhu kwamba kama alivyopewa maagizo yajinsi ya kutengeneza safina, basi nasi tunaelekwezwa jinsiya kutunza wokovu••• Mambo 3 Yaliyofanya Nuhu Apate Kibali mbele za Mungu (Our Take Home Lessons)1. Nuhu alikuwa mtu wa haki 2. Nuhu alikuwa mtu mkamilifu 3. Nuhu alikwenda pamoja na Mungu Ethically, hii nikusema Nuhu aliishi maisha ya Haki, Uadilifu, na Utakaifu. Utakatifu – kwa maana ya hali ya kumuishia ama kumuelekea Mungupekee na katika ujumla wote kwa kutenda katika usafi, uwajibikaji naunyenyekevu (Hill, 2008• •Faida za Kujifanyia Safina Yako – Inampa Mungu kufanya agano lake na wewe…
View SermonLOOK TO JESUS
TITLE: LOOK TO JESUS NUMBERS 21:4-9 AMP GOD íS JUDGEMENT TO THE CHILDREN OF ISRAEL GOD GAVE THEM A SOLUTION LOOK TO JESUS BELIEVE AND PUT YOUR TRUST IN JESUSJohn…
View SermonMTAZAME YESU
UJUMBE: MTAZAME YESUKITABU: HESABU 21:4-94 Wakasafiri kutoka mlima wa Hori kwa njia ya Bahari ya Shamu; ili kuizunguka nchi ya Edomu, watu wakafa moyo kwa sababu ya ile njia.5 Watu…
View SermonGET GOD’S ATTENTION
• GET GOD’S ATTENTION /MfanyeMungu akusikilize•MARK 10:46 – 52•Theme: Have Unstoppable Faith•Introduction•Bartimaeus is a good example when we talk about unstoppable faith and persistence. •I am always inspired by his faith and persistence. •Faith is an assurance…
View Sermon