TUMEUMBWA KUMWABUDU MUNGU ISAYA 43:7 -Ikumbukwe kwamba wanadamu tumeumbwa ili tumwabudu Mungu– Tumpe Mungu Utukufu -Na, ikiwa Mungu hajaabudiwa, wanadamu wataabudu kitu kingine kama vile pesa, cheo, mtu viumbe vingine, miungu… -Hata hivyo, mioyo yao haitatoshelezwa hadi pale watakapo mwabudu Mungu wa kweli – Muumbaji • Tumeubwa Kumwabudu Mungu… -Ili kumwabudu Mungu kwa uborazaidi, inahitaji kufanya hivyokatika UJUMLA WOTE WA MTU – WARUMI 12:1-2: (mwili, akili, nguvu, muda, ujuzi…) -Kumwabudu Mungu katika ubora kunatubadilisha na kutupa mahusiano zaidi ya karibu naMungu – MATHAYO 18:19-20 -Ndio maana Biblia inatuhimiza kumwabudu Mungu huku tukimpa sifa na utukufu peke yake -Kumwabudu Mungu kunaweza…
View SermonSermon Archive
Recent sermons preached by DPC Church pastors and preachers.
WE WERE CREATED TO WORSHIP GOD
WE WERE CREATED TO WORSHIP GOD – ISAIAH 43:7 -It should be remembered that people were created to Worship God – Created to give Glory to God -And, if Worship…
View SermonMRUHUSU MUNGU AONGOZE MAISHA YAKO
MRUHUSU MUNGU AONGOZE MAISHA YAKO 1. MUNGU ATAKUBADILISHA Mwanzo 12:1; 13:2 Isaya 41:8 Matendo 9:15 Yeremia 29:11 ‘Mungu ana mpango kwa ajili yako’ 2. MUNGU ATAKUBARIKI Mwanzo 12:1-2 Mwanzo 13: 5-6 Mwanzo 13:8-11 Kumbukumbu 28:1-14 Genesis 13: 5 -6 5 “Now Lot who was…
View SermonALLOW GOD TO LEAD YOUR LIFE
ALLOW GOD TO LEAD YOUR LIFE •Introduction: Genesis chapter 12 gives an account of the call of Abram to depart from his own country to where God was leading him. …
View SermonMUNGU HABADIRIKI
TITLE: MUNGU HABADIRIKITEXT:1 WAFALME 20:23-28 SOMO LA 1UWE MAKINI NA WAWAZO YA WATU [1 WAFALME 20:23-2823 Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo…
View SermonGOD DOES NOT CHANGE
TITLE: GOD DOES NOT CHANGETEXT:1 KINGS 20:23-28 LESSON 1: BE CAREFUL WITH PEOPLE’S OPINIONS[1 KINGS 20:23,28] LESSON 2: NOTHING CAN CHANGE GOD’S NATURE[ISAIAH 43:1-2] LESSON 3: GOD IS DEPENDABLE[1 KINGS…
View Sermon