•Ujumbe: WEWE NI NANI?
Andiko: AYUBU 1:1
-Swali la “wewe ninani?” wakatimwingine sio swalijepesi kujibu.
- Majibu ya swali hiliyanaweza kuhitajitaarifa zaidi za mtuzaidi ya kutaja jina lake tu.
• Utambulisho wa Ayubu :
- Mtu Mkamilifu – mtu asiyelaumika
- Mtu Mwelekevu –mtu mkweli, mwenye maadilimema
- Mtu Aliyemcha Mungu –anaemwabudu nakumuheshimu Mungu
- Mtu Aliyeepukana na uovu – kujiepusha namabaya kabisa
- Ikiwa Ayubu alitambulishwa na Mungu kwa sifahizi njema za Kimungu, vipi kuhusu wewe namimi?
- Kwa maneno mengine, basi nasi turuhusu hizi sifanjema alizopewa Ayubu zitupe changamoto nakutufanya kujitathimini mienendo yetu na kishatuanze kujijengea utambulisho mzuri kwakuzingatia mambo haya 2:
1. ISHI MAISHA YENYE MAADILI MEMA
- Maadili mema yatatufanya tusiwe watuwa kulaumika
- Hatutakubali kukana imani yetu katikaKristo Yesu
- Maadili yetu mema yataonekana nakuthibitika kwa Mungu na watu
- Tutaishi maisha ya kikristo yaliyonyookana yenye kuzaa matunda
- Tutakuwa watii na tunaopendeza moyowa Mungu kama Daudi – 1SAMWELI 13: 13-14 – hawa ndio watakaopewaufalme/nafasi
- Itampa Mungu utambulisho wako kwauwazi zaidi “wewe in nani? (hata mbeleya shetani – AYUBU 1:8)
2. UWE NA HOFU YA MUNGU NDANI YAKO
- Ni wajibu wa kila mmoja wetu kuchochea hofu yaMungu ndani yake
- Hofu ya Mungu inamfanya mtu kumfanyia Munguibaada kamili bila kujali mazingira – Danieli, Paulo & Sila
- Inamsaidia mtu kuepuka na kukataa dhambi kwaujasiri wote – Yusufu
- Inampa mtu ujasiri na uwezo wa kutubu na kuachamaisha ya dhambi
- Inamfanya mkristo kujawa na Roho na hekima; lakini pia jamii inamuamini mtu huyo na kumpamajukumu – MATENDO 6:1-4
• Conclusion
- Ikumbukwe kuwa huyu mtu wa UZ aliitwa Ayubu, lakini Mungu anampa utambulisho wa zaidi yajina lake.
- Hata nasi sote tuko na majina, Lakini tumefikiri nakuwaza jinsi gani Mungu anawezakututambulisha…
- Tunajua wewe ni Baba/Mama wa familia, Lakiniwatu wa familia yako wanaweza kukutambulishakwa sifa zipi…
- Vipi utambulisho wako kule Ofisini kwako, kuleKanisani kwako, WEWE NI NANI kwenye jamiiyako kwa ujulma?
- Ikumbukwe kuwa kinachoangaliwa kwanza nitabia zako, mienendo yako, maadili yako nasivinginevyo – AYUBU 1: 2-3
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video