SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA. SIKU YA 4 – ALHAMISI TAREHE 12/1/2023
OMBI KUU: DIRA NA DHIMA
1. Omba Mungu akubadilishe ili ubadilishe wengine ( Mathayo 3:1-8)
2.Omba ibada ianzie ndani yako( umwabudu Mungu katika Roho na kweli) (Yohana 4:23)
-Omba udhihirisho wa nguvu za Mungu kwenye ibada zetu.
-Omba Roho mtakatifu atawale tunapomuabudu. (Yohana 4:23; 1 Wakorintho 2:4- 5.)
3.Omba Moyo wa kumpenda BWANA, siku zote na nyakati zote (Mathayo 22:36-40)