TUISHI MAISHA YA KIMUNGU
Three Sundays back, I preached on “Being the overseer of the people under our care”; and together we learnt that overseeing the people under our care is Biblical, it maintain their safety, maintain our faithfulness to God, and God will crown us for doing that. Today, I want us to learn and discuss how important we are called to promote godliness as believers.
TITO 2: 1-15
Paul writes to Titus the younger preacher instructing him on how to perform his pastoral duties as he leads the church in Crete.
Paul is encouraging Titus to teach what is appropriate to sound doctrine and one of them being to promote godliness – a godly living.
Kuishi Maisha ya Kimungu
- Ni ile hali ya kuishi maisha ya Kikristo / kikanisa.
- Ni hali ya kuishi kulingana na sheria / mapenzi ya Mungu.
- Ni kuishi maisha yanayoendana na kanuni njema za kijamii.
Ikumbukwe kuwa mafundisho Tito aliyoagizwa na Paulo kuwafundisha kanisa la Crete – mafundisho hayo yanalifaa kanisa la leo pia, na haya ndio matarajio yanayotegemewa kutokea katika kila kundi la waumini:
A: WAZEE WA KIUME
- Wawe wenye kiasi – Wastahivu na busara
- Wazima katika imani – Wenye upendo na saburi
B: WAZEE WA KIKE
- Mwenendo wa utakatifu
- Wasiwe wasingiziaji na waongo
- Wasitumie mvinyo , bali wawafundishe mema kinamama vijana
C: KINAMAMA VIJANA
- Wapende waume na watoto wao – Wenye kiasi na usafi
- Wafanye kazi nyumbani mwao – Kuwatii waume zao wenyewe
D: VIJANA WA KIUME
- Wawe na kiasi
- (As for TITUS) – Kielelezo cha matendo mema, Maadili/Usahihi, Ustahivu na kutoa maneno yenye uzima.
E: Watumwa / WAAJIRIWA
- Wawatii na kuwapenda bwana zao
- Wasiwe na majibu mabaya
- Wasiwaibie bwana zao
- Waonyeshe uaminifu na wema
WAKRISTO TUNAWEZAJE SASA KUISHI MAISHA YA KIMUNGU?
- Kwa kuruhu NEEMA YA MUNGU itufundishe na kutuwezesha kuishi katika ulimwengu huu wa sasa uliojaa changamoto na majaribu mengi.