USIDANGANYIKE. Wagalatia 6:6–10
1. MUNGU HAKIWI (HADHIHAKIWI)
Wagalatia 6:6–7; Mithali 15:3; Waebrania 4:13
- Mungu hawezi kudharauliwa au kubezwa.
- Anaona yote—ya wazi na ya siri.
- Hakuna chochote kilichofichika machoni pake.
2. UTAKACHOPANDA NDICHO UTAKACHOVUNA
Wagalatia 6:7b–8; Hosea 8:7; Mithali 22:8
- Maisha yanaongozwa na kanuni ya kupanda na kuvuna.
- Kupanda katika mwili huleta uharibifu;
kupanda katika Roho huleta uzima.
3. USICHOKE KUTENDA MEMA
Wagalatia 6:9–10; Waebrania 6:10–11
- Usikate tamaa kwa sababu matokeo yanachelewa.
- Mavuno yapo kwa wakati wake Mungu.
- Mungu hakumbuki vibaya kazi na upendo wetu.
Hitimisho:
👉 Usidanganyike
👉 Mungu hakiwi
👉 Unachopanda ndicho utachovuna
👉 Endelea kutenda mema, hasa kwa watu wa nyumbani mwa imani
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video






