🇹🇿 MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA NUSU MWAKA
ALHAMISI • 16 JULAI 2026
🙏 Maombi ya Kuombea Taifa
📖 1. Ombea Rehema za Mungu kwa Taifa la Tanzania
“Ikiwa watu wangu… watajinyenyekeza na kuomba…”
📖 2 Mambo ya Nyakati 7:14 | Yeremia 14:20 | Danieli 9:8
📖 2. Waombee Viongozi wa Mihimili Yote
Mungu awajaze hekima, maarifa na hofu ya Bwana ili waongoze kwa haki na uadilifu.
📖 Ezekieli 22:29–30
📖 3. Ombea Amani na Haki Vitawale Nchini
Tuombe taifa letu liendelee kuwa na amani, haki na utakatifu katika kila sekta.
📖 Mithali 14:34 | Isaya 61:8
📖 4. Omba Baraka na Ulinzi wa Mungu kwa Tanzania
Mungu alibariki taifa letu, alipe maendeleo, na aliweke chini ya ulinzi wake daima.
📖 Zaburi 33:12–14 | Yeremia 29:11 | Zaburi 127:1
“Heri taifa ambalo Bwana ndiye Mungu wake.” — Zaburi 33:12
#MaombiYaKufunga2026 #MidYearPrayer2026 #OmbeaTaifa #Tanzania #PrayForTanzania #DPCKinondoni #DarEsSalaamPentecostalChurch #PrayerWorks #MunguIbarikiTanzania #TrustTheLord

