DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: SATURDAY, 29/01/2022 – POWER AND ANOINTING TO ENABLE YOU TO FULFILL GOD’S PURPOSE (NGUVU NA UPAKO WA KUKUWEZESHA KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU)

DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: SATURDAY, 29/01/2022 –
POWER AND ANOINTING TO ENABLE YOU TO FULFILL GOD’S PURPOSE

  1. Pray for God’s power to enable you to do God’s purpose.
    • Pray for your level of faith to increase
    • Pray for God’s power to work in you.
    Ephesians 3:20, 1 Chronicles 16:11, Psalm 23:5
  2. Pray for the anointing and the power of the Holy Spirit
    • To enable the church to do God’s purpose and fulfill the church’s vision
    • For God to reveal Himself through the gifts of the Holy Spirit
    Zechariah 4:6-7, Psalm 92:10
  3. Pray for servants of PAG Tanzania; in the mainland and the islands.
    • For God to release the anointing and power of the Holy Spirit to fulfill their calling.
    • For God to use them to reach many with the gospel of our Lord Jesus Christ
    Psalm 89:20, Acts 10:38, Isaiah 40:28-31
  4. Thank God for He is going to do a new thing in your life and in the church. Isaiah 43:28-19, Psalm 45:7

DPC-SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA WIKI YA TATU: JUMAMOSI 29/01/2022:
NGUVU NA UPAKO WA KUKUWEZESHA KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU.

  1. Omba nguvu za Mungu kwa ajili kukuwezesha kutenda Kusudi la Bwana.
    • Omba kwa ajili ya kiwango chako cha Imani kuongezeka
    • Omba Nguvu za Mungu kutenda kazi ndani yako.
    Waefeso 3:20, 1 Nyakati 16:11, Zaburi 23:5
  2. Omba Upako na Nguvu za Roho Mtakatifu;
    • Ili kuliwezesha kanisa kufanya kusudi la Mungu na kutimiza maono ya kanisa.
    • Mungu ajidhihirishe kupitia Karama za Roho Mtakatifu
    Zekaria 4:6-7, Zaburi 92:10.
  3. Ombea watumishi wa Kanisa la PAG-Tanzania bara na visiwani
    • Mungu awape upako na nguvu za Roho Mtakatifu kwa ajili ya kutimiza wito walioitiwa.
    • Mungu awatumie kuwafikia wengi kwa INJILI ya Bwana wetu Yesu Kristo
    Zaburi 89:20, Matendo 10:38, Isaya 40:28-31.
  4. Mshukuru Mungu kwa kuwa anakwenda kufanya jambo jipya katika maisha yako na katika Kanisa. Isaya 43:18-19, Zaburi 45:7

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top