KIBALI CHA KI MUNGU
- LEO TUNAJIFUNZA ZAIDI YA KIBALI CHA MUNGU
- Hibaki cha ki Mungu hukufanikisha katika kila jambo unalofanya
- Hufungua milango
- Kibali cha Ki Mungu hukusaidia kutimiza kusudi la Mungu
- Hukusadia kufikia hatima yako hapa duniani
TUNAPATAJE KIBALI CHA MUNGU?
When you receive Jesus Christ as your personal saviour, you receive the grace of God and are clothed with divine favour.
ZABURI 5:11 NIV
12Surely, Lord, you bless the righteous;
you surround them with your favor as with a shield.
- When you receive Jesus Christ, You are justified, You are reconciled to God and the favor of God is upon.
YESU ALIKUWA KATIKA KIMO, HEKIMA NA KIBAKI KWA MUNGU NA KWA WANADAMU
LUKA 2:52 NKJV
52And Jesus increased in wisdom and stature, and in favor with God and men.
- As a Christian you have to grow in wisdom and in the favour of God. The fear of God is the beginning of wisdom. The more you grow in the Lord you grow in the favour of God
- As you grow in your calling, you also grow in the favour of God.
UTENDAJI WA KIBALI CHA MUNGU KATIKA MAISHA YETU
You have the grace of God and the favour of God is upon you but you have to activate it.
EXAMPLE OF THE CAR: If someone gives you a car as a gift and you park it because you don’t know how to drive it, it will not benefit you. To enjoy it, you have to know how to drive it.
:KUHIDHILIKA KWA KIBAKI CHA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO, FANYA MAMBO HAYA
- TEMBEA NA NA MUNGU
- The presence of God in our lives brings divine favour
MWANZO 39:1-6 NIV
1Now Joseph had been taken down to Egypt. Potiphar, an Egyptian who was one of Pharaoh’s officials, the captain of the guard, bought him from the Ishmaelites who had taken him there.
2The Lord was with Joseph so that he prospered, and he lived in the house of his Egyptian master. 3When his master saw that the Lord was with him and that the Lord gave him success in everything he did, 4Joseph found favor in his eyes and became his attendant. Potiphar put him in charge of his household, and he entrusted to his care everything he owned. 5From the time he put him in charge of his household and of all that he owned, the Lord blessed the household of the Egyptian because of Joseph. The blessing of the Lord was on everything Potiphar had, both in the house and in the field. 6So Potiphar left everything he had in Joseph’s care; with Joseph in charge, he did not concern himself with anything except the food he ate.
- Joseph was a son of Jacob whom he loved. His brothers hated him for that
- God showed him his future through a dream that one day he will be a great leader. He shared the dream with his brothers and they even hated him more and planned to kill him.
- They changed their mind and decided to sell him, they sold him to midianites
JOSEPH WAS SOLD TO POTIPHAR THE EGYPITIANS – Genesis 39:1
- The LORD was with Joseph, and he became a successful man, and he was in the house of his Egyptian master. VS 2
- The LORD was with Joseph, and he became a successful man, and he was in the house of his Egyptian master. VS 3
- Joseph found favour in his eyes and became his attendant. Potiphar put him in charge of his household, and he entrusted to his care everything he owned. VS 4
- From the time he put him in charge of his household and of all that he owned, the Lord blessed the household of the Egyptian because of Joseph. The blessing of the Lord was on everything Potiphar had, both in the house and in the field. 6 So Potiphar left everything he had in Joseph’s care; with Joseph in charge, he did not concern himself with anything except the food he ate. Gen 39:1-6
YUSUFU ALIKUWA NA KIBAKI CHA KI MUNGU KWASABU MUNGU AKUWA PAMOJA NAE
- The presence of God was with him and gave him success
- His boss realised that God is with Joseph
- Joseph found favour before Potiphar and he made Him a manager of everything he had
- The favour changed Joseph from a slave to a manager
- God blessed Potiphar because of Joseph
KAMA UNATAKA KUONA UDHIHRISHO WA KIBALI CHA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
- KAA KATIKA NENO- JOHN 15: 1-10
-Obey and put your trust in the Lord
- LINDA KIBAKI CHA BWANA KATIKA MAISHA YAKO
Now Joseph was well-built and handsome, 7and after a while his master’s wife took notice of Joseph and said, “Come to bed with me!”
8But he refused. “With me in charge,” he told her, “my master does not concern himself with anything in the house; everything he owns he has entrusted to my care. 9No one is greater in this house than I am. My master has withheld nothing from me except you, because you are his wife. How then could I do such a wicked thing and sin against God?” 10And though she Joseph valued the presence of God in His life, He refused to sin against His God
- The enemy wanted to destroy His dreams and destiny using his brothers but God protected Him
- Satan used Potiphar’s wife to destroy Joseph’s destiny by causing him to sin against His God
- The greatest battles satan wages on your life are to separate you from God. Satan has no power over your life unless you open a door for him to have access over your life.
- Joseph was willing to lose everything except the favour of God upon His life.
KIBALI CHA MUNGU KILIMFANYA YUSUFU AFANIKIWE GEREZANI
Genesis 19-23
19When his master heard the story his wife told him, saying, “This is how your slave treated me,” he burned with anger. 20Joseph’s master took him and put him in prison, the place where the king’s prisoners were confined.
But while Joseph was there in the prison, 21the Lord was with him; he showed him kindness and granted him favor in the eyes of the prison warden. 22So the warden put Joseph in charge of all those held in the prison, and he was made responsible for all that was done there. 23The warden paid no attention to anything under Joseph’s care, because the Lord was with Joseph and gave him success in whatever he did.
- CHOCHEA UTENDAJI WA KIBALI CHA BWANA KATIKA MAISHA YAKO KW A MAOMBI NA IMANI
WAEBRANIA 4:16
Basi na tukikaribie kiti cha rehema kwa ujasiri, ili tupewe rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.
GOD SAVES THE JEWS
ESTA 3:1-11
Baada ya matukio haya, Mfalme Ahasuero alimheshimu Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, akampandisha na kumpa kiti chake cha heshima cha juu sana kuliko wakuu wengine wote. 2 Maafisa wote wa mfalme waliokaa langoni mwa mfalme walipiga magoti na kumpa Hamani heshima, kwa kuwa mfalme alikuwa ameamuru hili kuhusu Hamani. Lakini Mordekai hakumpigia magoti wala kumheshimu.
3 Kisha maafisa wa mfalme waliokuwa langoni mwa mfalme walimuuliza Mordekai, “Kwa nini hutii agizo la mfalme?” 4 Siku baada ya siku walizungumza naye lakini hakukubali. Kwa hiyo walimweleza Hamani kuona kama tabia ya Mordekai itaweza kuvumiliwa, kwa maana alikuwa amewaambia kuwa yeye ni Myahudi.
5 Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika. 6 Hata hivyo baada ya kujulishwa watu wa Mordekai ni akina nani, alibadili wazo la kumuua Mordekai peke yake. Badala yake Hamani alitafuta njia ya kuwaangamiza watu wote wa Mordekai, yaani, Wayahudi, walio katika ufalme wote wa Ahasuero.
7 Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa Mfalme Ahasuero, katika mwezi wa kwanza uitwao Nisani, walipiga puri (yaani kura) mbele ya Hamani ili kuchagua siku na mwezi. Kura ikaangukia kwenye mwezi wa kumi na mbili, yaani Adari.
8 Kisha Hamani akamwambia Mfalme Ahasuero, “Wako watu fulani wameenea na kutawanyika miongoni mwa watu katika majimbo yote ya ufalme wako, ambao desturi zao ni tofauti na zile za watu wengine wote, nao hawatii sheria za mfalme. Haifai mfalme kuwavumilia watu hawa. 9Kama inampendeza mfalme, itolewe amri kuwaangamiza, nami nitaweka talanta 10,000 za fedha katika hazina ya mfalme kwa ajili ya watu watakaoshughulikia jambo hili.”
10 Basi mfalme alichukua pete yake ya muhuri kutoka kwenye kidole chake na kumpa Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui wa Wayahudi. 11Mfalme akamwambia Hamani, “Baki na fedha yako na uwatendee hao watu utakavyo.”
ESTA 4:1-3
1 Mordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu. 2 Alikwenda akasimama nje ya lango la mfalme, kwa sababu hakuna yeyote aliyeruhusiwa kuingia akiwa amevaa nguo za magunia. 3 Katika kila jimbo ambapo amri na agizo la mfalme lilifika, kulikuwa na maombolezo makuu miongoni mwa Wayahudi pamoja na kufunga, kulia na kuomboleza. Watu wengi wakalala juu ya nguo za magunia na majivu.
ESTA 4-7-10
7 Mordekai akamwambia kila kitu ambacho kimempata, pamoja na hesabu kamili ya fedha ambazo Hamani aliahidi kulipa katika hazina ya mfalme kwa ajili ya maangamizi ya Wayahudi. 8 Akampa nakala ya andiko la amri kwa ajili ya maangamizi yao, lililokuwa limechapishwa huko Shushani, kumwonyesha Esta na kumwelezea. Mordekai akamwambia towashi amshawishi Esta kwenda mbele ya mfalme kuomba rehema na kumsihi kwa ajili ya watu wake.
9 Hathaki akarudi kwa Esta na kumwarifu alilolisema Mordekai. 10 Kisha Esta akamwamuru Hathaki amweleze Mordekai, 11“Maafisa wote wa mfalme na watu wa majimbo ya ufalme wanajua kuwa mwanaume au mwanamke yeyote ambaye ataingia kumwona mfalme katika ua wa ndani bila kuitwa, mfalme ana sheria moja tu: Atauawa. Njia pekee kinyume na hili ni mfalme kumnyooshea fimbo ya dhahabu ili aishi. Lakini siku thelathini zimepita tangu nilipoitwa kwenda kwa mfalme.”
12 Wakati Mordekai aliarifiwa maneno ya Esta, 13 Mordekai alirudisha jibu hili: “Usifikiri kwamba kwa sababu uko katika nyumba ya mfalme wewe pekee katika Wayahudi wote utapona. 14 Kwa kuwa kama utakaa kimya wakati huu, msaada na ukombozi kwa Wayahudi utatoka mahali pengine, lakini wewe na jamaa ya baba yako mtaangamia. Nani ajuaye kwamba hukuja kwenye nafasi ya mamlaka kwa ajili ya wakati kama huu?”
15 Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai: 16 “Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.”
17 Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo
ESTA 5:1-4 Siku ya tatu, Esta alivaa mavazi yake ya kimalkia, naye akasimama katika ua wa ndani wa jumba la mfalme, mbele ya ukumbi wa mfalme. Naye mfalme alikuwa akiketi katika kiti chake cha kifalme katika ukumbi, akielekea langoni. 2 Alipomwona Malkia Esta amesimama uani alipendezwa naye, akamnyooshea fimbo ya utawala ya dhahabu ile iliyokuwa mkononi mwake. Kwa hiyo Esta alikaribia na kuigusa ncha ya fimbo ya mfalme.
3 Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.”
4 Esta akajibu, “Kama itampendeza mfalme, mfalme pamoja na Hamani waje leo katika karamu ambayo nimeiandaa kwa ajili yake.”
5 Mfalme akasema, “Mleteni Hamani mara moja, ili tupate kufanya lile Esta analoomba.”
Kwa hiyo mfalme na Hamani walihudhuria karamu aliyoiandaa Esta. 6 Walipokuwa wakinywa mvinyo mfalme akamuuliza Esta tena, “Sasa haja yako ni nini? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
7 Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili: 8 Kama mfalme ameona vyema, nami nimepata kibali kwake na kama ikimpendeza mfalme kunipa ombi langu na kunitimizia haja yangu, mfalme na Hamani waje kwangu kesho katika karamu nitakayowaandalia. Kisha nitajibu swali la mfalme yote ya Esta.
HEMANI APANGA KUMUMUA MORDECAI
ESTA 5:14
14 Zereshi mkewe na rafiki zake wote wakamwambia, “Tengeneza mahali pa kuangika watu kimo chake dhiraa hamsini, kisha kesho asubuhi mwombe mfalme Mordekai aangikwe juu yake. Ndipo uende na mfalme kwenye karamu kwa furaha.” Shauri hili lilimpendeza Hamani, naye akajenga mahali pa kuangika watu..
GOD REMEMBERS MORDECAI
1 That night the king had trouble sleeping, so he ordered an attendant to bring the book of the history of his reign so it could be read to him. 2In those records he discovered an account of how Mordecai had exposed the plot of Bigthana and Teresh, two of the eunuchs who guarded the door to the king’s private quarters. They had plotted to assassinate King Xerxes.
3“What reward or recognition did we ever give Mordecai for this?” the king asked.
His attendants replied, “Nothing has been done for him.”
GOD SAVES THE LIFE OF JEWS
ESTA 7:1-4 Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta. 2Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta, “Sasa, malkia Esta, unataka nini? Niambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.” 3 Malkia Esta akamjibu, “Kama nimepata upendeleo kwako, ewe mfalme, na ukiwa radhi kunitimizia ombi langu, haja yangu ni mimi niishi na watu wangu pia. 4Maana, mimi na watu wangu tumeuzwa tuuawe, kuangamizwa na kufutiliwa mbali. Kama tungeuzwa tu kuwa watumwa na watumwa wa kike, ningekaa kimya, wala nisingekusumbua. Ingawa tutakatiliwa mbali hakuna adui atakayeweza kufidia hasara hii kwa mfalme.”
- It was God’s favour upon Esther that made her the queen so that she will save her people
- Mordecai was forgotten but Divine favour restored what the enemy had stolen
- The divine favour changed the laws which was not to be changed. Jews enjoyed life in a foreign land and worshipped their God
- TAMBUA KIBALI CHA BWANA KATIKA MAISHA YAKO
- KUBALI, UWE NA UHAKIKA NA UTANGAZE KWAMBA UNAKIBALI CHA KI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
- PAUL’S CONVICTION AND PROFESSION
Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga? Mungu hakumhurumia hata Mwanae wa pekee, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. Ikiwa amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote? Ni nani atakayewashtaki wateule wa Mungu? Mungu mwenyewe huwaondolea hatia! Ni nani atakayewahukumu? Hakuna! Maana Kristo ndiye aliyekufa, tena alifufuka kutoka kwa wafu na anakaa upande wa kulia wa Mungu. Yeye anatuombea! Ni nani awezaye kututenga na upendo wa Kristo? Je, ni taabu, au dhiki, au mateso, au njaa, au ukosefu wa nguo, au hatari, au kifo? Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: “Kwa ajili yako, twakikabili kifo kutwa kucha; tunatendewa kama kondoo wa kuchinjwa.” Lakini, katika mambo haya yote, tumepata ushindi mkubwa kwa msaada wake yeye aliyetupenda. Maana ninajua hakika kwamba hakuna kitu kiwezacho kututenganisha na upendo wake: Wala kifo, wala uhai; wala malaika au nguvu nyingine za mbinguni; wala yanayotokea sasa, wala yatakayotokea baadaye; wala mamlaka; wala ulimwengu wa juu, wala wa chini kabisa. Hakuna kiumbe chochote kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu katika Kristo Yesu Bwana wetu.
- Ukiri wa Daudi. Zaburi 23
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
- ENDELEA KUWA MUNYENYEKEVU NA MUTUKUZE MUNGU
Farao akamwambia Yusufu, “Mimi nimeota ndoto, lakini hakuna mtu aliyeweza kunitafsiria. Nimesikia sifa zako kwamba wewe ukiambiwa ndoto unaweza kuitafsiri.” 16 Yusufu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”
- KILA MARA MSHUKURU MUNGU NA TAMBUA KIBALI CHA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO.