YOU ARE NOT ALONE

YOU ARE NOT ALONE – MATTHEW 1:23 Why all these groups and forms of communities? They have discovered the secrete that when someone is behind them – they become stronger…

View Sermon

HAUKO PEKE YAKO

HAUKO PEKE YAKO – MATHAYO 1:23 Kwa nini makundi haya yote na aina za jumuiya? Wamegundua siri ambayo wakati mtu yuko nyuma yao – huwa na nguvu na ujasiri, na…

View Sermon

JIPE UJASIRI NA USIOGOPE

JIPE UJASIRI na USIOGOPEMATHAYO 14:22-33 Kutokana na andiko ambalo tumesoma, ningependa tujibu maswali mawili 1. KWANINI WAUMINI TUWE NA UJASIRI NA WASIOGOPE 1 KWANINI WAUMINI TUWE NA UJASIRI NA TUSIOGOPE…

View Sermon

TUMEUMBWA KUMWABUDU MUNGU 

TUMEUMBWA KUMWABUDU MUNGU ISAYA 43:7 -Ikumbukwe kwamba wanadamu tumeumbwa ili tumwabudu Mungu– Tumpe Mungu Utukufu -Na, ikiwa Mungu hajaabudiwa, wanadamu wataabudu kitu kingine kama vile pesa, cheo, mtu viumbe vingine, miungu… -Hata hivyo, mioyo yao haitatoshelezwa hadi pale watakapo mwabudu Mungu wa kweli – Muumbaji • Tumeubwa Kumwabudu Mungu… -Ili kumwabudu Mungu kwa uborazaidi, inahitaji kufanya hivyokatika UJUMLA WOTE WA MTU –  WARUMI 12:1-2: (mwili, akili, nguvu, muda, ujuzi…)  -Kumwabudu Mungu katika ubora kunatubadilisha  na kutupa mahusiano zaidi ya karibu naMungu – MATHAYO 18:19-20 -Ndio maana Biblia inatuhimiza kumwabudu Mungu huku tukimpa sifa na utukufu peke yake -Kumwabudu Mungu kunaweza…

View Sermon
Back to top