BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU

BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU

KIFUNGU: ZABURI 23

MASOMO:
1. SITAPUNGUKIWA NA KITU (Zaburi 23:1-3) Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

2. SITAOGOPA MABAYA (Zaburi 23:4) Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

3. NITAKAA NYUMBANI MWA BWANA MILELE
(Zaburi 25:5-6) , Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.

×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top