Huduma ya 35 Degrees ina furaha kuwatangazia kwamba imeandaa semina yenye kichwa “Kuendesha Biashara: Uzoefu kutoka kwa Wale Wasiokata Tamaa” itakayofanyika Jumamosi tarehe 30 Octoba, 2024, hapa hapa kanisani (DPC) kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana.
Washirika kutoka katika makundi mengine katika kanisa wanakaribishwa.Kwa Kuwasiliana nasi kwa simu namba 0754295485 (Antonia Katongo) kwa ajili ya kujisajili.
Usipange kukosa fursa hii maridhawa. Karibuni nyote!






