WIKI YA FAMILIA 2026

FAMILY FUN DAY REGISTRATION 14TH OCT 2026 / USAJILI SIKU YA FAMILIA 14 OKT 2026

Section 1 : PERSONAL INFORMATION (TAARIFA BINAFSI)

Full Names (Majina Kamili)

Section 2 : FAMILY/GROUP ATTENDANCE (MAHUDHURIO YA FAMILIA/KIKUNDI)

Please provide the names of the family members/people coming with you.

Section 3 : NAMES OF ATTENDEE (MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA)

Please provide the names of the family members/people coming with you.

Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina
Name /Jina

WIKI YA FAMILIA: WIKI YA FAMILIA iliyokuwa ikingojewa kwa muda mrefu ya mwaka wa 2026 hatimaye imefika. Mpango huo utaanza wiki hii ijayo kuanzia Jumanne tarehe 12 Oktoba hadi tarehe 17 Oktoba 2026.  .

Ifuatayo ni mpango wa wiki:

  1. Jumatatu, tarehe 12 Oktoba 2026 –
  2. Jumanne, tarehe 13 Oktoba 2026 –
  3. Jumatano, tarehe 14 Okt 2026 – SIKU YA FAMILIA (Family Fun Day)
  4. Alhamisi tarehe 15 Oktoba 2026 –
  5. Ijumaa, tarehe 16 Oktoba 2026 Maombi ya Shirika la Familia
  6. Jumamosi, tarehe 17 Oktoba 2026 – Siku ya Ndoa za Pamoja

Kuanzia Jumanne hadi Ijumaa vipindi vinaanza saa 11:00 Jioni. na Jumamosi tutakuwa kuanzia saa 3:00 asubuhi kwa maandalizi mazuri ya Siku ya Furaha ya Familia (FFD), wanafamilia wanaombwa kusajili majina yao na wanafamilia kwenye dawati la habari mara baada ya ibada au unaweza kujiandikisha kwa Stephano Mwalukasa kupitia namba. 0787137933. Chakula kitauzwa kwa bei nzuri. Tunamkaribisha yeyote ambaye angependa kufadhili baadhi ya shughuli za Siku ya Furaha ya Familia kumuona Mchungaji Mwende au Kulwa Deteba.

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with