KUKUTANA NA MUNGU HUBADILISHA MAISHA ✨”Hakuna anayekutana na Mungu na kubaki vilevile.”
Yakobo alipokutana na Mungu, maisha yake yalibadilika kabisa. Mungu alibadilisha utambulisho wake, tabia yake, na kusudi la maisha yake.
📖 Mwanzo 32:22–31; 35:9–11
1🔹 KUKUTANA NA MUNGU HUBADILISHA UTAMBULISHO WAKO.
“Jina lako halitaitwa tena Yakobo, bali Israeli…” (Mwanzo 32:28)
2🔹 KUKUTANA NA MUNGU HUBADILISHA TABIA YAKO.
Moyo ulioguswa na Mungu huleta msamaha, unyenyekevu na upatanisho. (Mwanzo 33:3–4)
3🔹 KUKUTANA NA MUNGU HUBADILISHA KUSUDI LA MAISHA YAKO.
Mungu hukuita na kukuwezesha kutimiza mpango wake mkuu. (Mwanzo 35:11)
🙏 Leo, tafuta kukutana na Mungu. Mkutano mmoja na Mungu unaweza kubadilisha maisha yako milele.
#KukutanaNaMungu #MunguHubadilishaMaisha #BadilikoLaKweli #Imani #NenoLaMungu #ChristianLife #Faith #Transformation #JesusChrist #DPCKinondoni #DarEsSalaamPentecostalChurch






