MTUMAINI NA KUMWABUDU MUNGU PEKE YAKE

Mtumaini na Kumwabudu Mungu Peke Yake

Maandiko: Dan. 6:1–28

Utangulizi. Daniel alimtumaini na kumwabudu Mungu kinyume na sheria ya Wamedi na Waajemi.

Masomo

I. Kumtumaini Mungu hudhihirishwa na Ibada yetu hata kama inahatarisha maisha yetu. Dan. 6:10–11

II. Mungu atawaokoa wale wanaomtumaini. Dan. 6:19–28, – Zab. 23:4

III. Uwe tayari kumpinga mpinga Kristo – Mtawala wa Dunia atakayedai kuabudiwa. Ufunuo 13:1-18, 1 Yoh. 2:18, 22

Mwisho. Mithali 3:5–6

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top