NI MUNGU PEKEE ANAWEZA KUFANYA YASIYOWEZEKANA

🙌Ni Mungu Pekee Anaweza Kufanya Yasiyowezekana🙌 Luka 5:1–26

1.⁠ ⁠Kile Kinachoonekana Hakiwezekani Kinawezekana Kupitia Utii na Kumtumaini Mungu Luka 5:4–6, 12, 18–20; Isaya 1:19–20

2.⁠ ⁠Ni Mungu Pekee Anayeweza Kusamehe Dhambi na Kutoa WokovuLuka 5:8, 12–13, 20–24; Warumi 8:1; Isaya 1:18; Yohana 10:30, 38

3.⁠ ⁠Ni Mungu Pekee Anaweza Kufanya Mambo ya Ajabu “Leo tumeona mambo ya ajabu.” — Luka 5:26

Luka 5:26 “Wote walishikwa na mshangao mkuu na furaha isiyoelezeka. Wakamtukuza na kumshukuru Mungu, wakajawa na hofu takatifu na kuendelea kusema, ‘Leo tumeona mambo ya ajabu, ya kushangaza, ya kutisha kwa ukuu wake, na yasiyowezekana kufikiriwa!’”

#NiMunguPekee #Yasiyowezekana #Luka5 #MunguAnaweza #Imani #YesuAnaokoa #Wokovu #NenoLaMungu #SundaySermon #DPCKinondoni #DarEsSalaamPentecostalChurch

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top