FAHAMU KUHUSU VITA VYA KIROHO. Ufunuo 12:7-12
1. Shetani ni adui yako siku zote. Ufunuo 12:7-12 Anaongoza ulimwengu wote kupotea Ufunuo 12:7-12 Ole kwa dunia ufunuo 12:12 Anatafuta mtu wa kummeza 1 PETRO 5:8
Yeye ndiye baba wa uongo YOHANA 8:44YOHANA 8:44
2. Ushindi wako Unapatikana katika Kristo. Ufunuo 12:11) Asili ya vita na silaha. 2 Wakorintho 10:3-5 Hakuna silaha dhidi yangu itakayofanikiwa. Isaya 54:17 Sisi ni zaidi ya Washindi. Warumi 8:37-39
3. Mpinge Shetani naye atakimbia. Yakobo 4:7-9, 2 Wakorintho 11:13-15
Usifungwe nira na wasio amini. 2 Wakorintho 6:14-18







