USIKATE TAMAA KIASI CHA KUFA

USIKATE TAMAA KIASI CHA KUFA

1 Wafalme 19:1-18

Utangulizi: Kukata tamaa = “Hali ya kuhisi kuwa hakuna matumaini na kwamba huwezi kufanya lolote kuboresha hali ngumu au ya kutia wasiwasi” (Kamusi ya Cambridge)

Utangulizi

• Eliya alikuwa nabii mkubwa Israeli, lakini alikata tamaa akaomba heri kufa.

Masomo

1. Kumbuka mambo  mema aliyoyafanya Mungu mara unapokutana na changamoto. Yakobo 5:16-17, Zaburi 77:1-5; 9-15, Waebrania 13:7-8

2. Fahamu kuwa Mungu anaweza kukutia nguvu tena. 1 Wafalme 19:3-9, Isaya 40:25-31

3. Tambua kwamba Mungu hajamaliza na wewe. 1 Wafalme 19:13-17, Wafilipi 3:7-14

Hitimisho

Mithali 3:5-6, Mathayo 11:28-29

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with