YESU KRISTO NI MCHUNGAJI MWEMA

YESU KRISTO NI MCHUNGAJI MWEMA. YOHANA 10:11 – 16

  1.  KRISTO ALITOA UHAI WAKE KWA AJILI YA KONDOO WAKE. Yohana10:11 – 13; Warumi 5:8; Isaya 53:5 – 8

Key verse: John 10:11 Mimi ni Mchungaji Mwema. Mchungaji Mwema hutoa maisha yake kwa ajili ya kondoo

2. KRISTO   ANAWAJUA KONDOO WAKE. Yohana 10:14 – 15; 10:2 – 4; Ezekieli 34:4

Key Verses:

John 10:14 Mimi ni Mchungaji Mwema: nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi.

Isaiah 40:11 Atalilisha Kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; na kuwachukua kifuani mwake, nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.

3. YESU KRISTO NI MCHUNGAJI MWEMA KWA WOTE. Yohana 10:16;Ufunuo 5:9 – 10

Key Verses: Yohana 10:16 16 Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja

Revelation 5:9 – 10 Na wote walimwimbia wimbo mpya Mwanakondoo: “Unastahili…kwa sababu uliuawa,na kwa sadaka ya damu yako uliwanunua watu kwa ajili ya Mungu,kutoka kila kabila, lugha, rangi na taifa.

HITIMISHO

  • Yesu Kristo ni mchungaji mwema alietoa uhai wake ili mimi na wewe tuokolewe.
  • Yesu anakujua kwa jina, kwa sauti na kwa tabia
  •  anayajua mahitaji yako na changamoto zako zote.
  • Walio zizini anwajua, waliopotea anawajua pia.
  • Muite – atakusaidia.
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with