YESU KRISTO NI MCHUNGAJI MWEMA. YOHANA 10:11 – 16
- KRISTO ALITOA UHAI WAKE KWA AJILI YA KONDOO WAKE. Yohana10:11 – 13; Warumi 5:8; Isaya 53:5 – 8
Key verse: John 10:11 Mimi ni Mchungaji Mwema. Mchungaji Mwema hutoa maisha yake kwa ajili ya kondoo
2. KRISTO ANAWAJUA KONDOO WAKE. Yohana 10:14 – 15; 10:2 – 4; Ezekieli 34:4
Key Verses:
John 10:14 Mimi ni Mchungaji Mwema: nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi.
Isaiah 40:11 Atalilisha Kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; na kuwachukua kifuani mwake, nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.
3. YESU KRISTO NI MCHUNGAJI MWEMA KWA WOTE. Yohana 10:16;Ufunuo 5:9 – 10
Key Verses: Yohana 10:16 16 Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja.
Revelation 5:9 – 10 9 Na wote walimwimbia wimbo mpya Mwanakondoo: “Unastahili…kwa sababu uliuawa,na kwa sadaka ya damu yako uliwanunua watu kwa ajili ya Mungu,kutoka kila kabila, lugha, rangi na taifa.
HITIMISHO
- Yesu Kristo ni mchungaji mwema alietoa uhai wake ili mimi na wewe tuokolewe.
- Yesu anakujua kwa jina, kwa sauti na kwa tabia
- anayajua mahitaji yako na changamoto zako zote.
- Walio zizini anwajua, waliopotea anawajua pia.
- Muite – atakusaidia.






