1. Mwombe Mungu akupe afya njema na ulinzi dhidi ya mashambulizi yote ya adui Shetani.
Kemea roho za ajali, majanga na magonjwa. Zaburi 91:1-16, Isaya 54:17, Zaburi 34:7, Zaburi 140:4
2. Ombea mipango na mafanikio yako binafsi na ya familia yako kiroho, kimwili, kijamii na
kiuchumi. Omba Mungu aachilie hofu yake kwa watoto/baba/mama yako. Wafilipi 4:4-7
3. Kabidhi mipango yako na mahitaji yako mbalimbali mbele za Bwana kwa kadri Roho
Mtakatifu atakavyokuongoza
4. Omba Mungu akusaidie kumpenda zaidi na umtumikie kwa viwango na ubora wa hali ya
juu. Mathayo 22:37