SHUKRANI
1. Mpe Mungu utukufu kwa jinsi ametuwezesha kumaliza wiki ya kwanza ya maombi kwa neema na ushindi. • Waefeso 3:16
2. Mwombe Mungu azidi kuwezesha kwa ajili ya kuendelea na maombi katika wiki ijayo bila kizuizi chochote • 1 Wathesalonike 5:24

