SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA SIKU YA NANE

SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA – DPC: Jumatatu 12/01/2026
UINJILISTI NA UMISSION
1.⁠ ⁠Mshukuru Mungu kwa kazi ya injili na kuwaombea wote wanaojitoa kuipeleka na kuiamini injili ya Kristo – Warumi 10:15
2.⁠ ⁠Muombe Mungu akuwezeshe kuukulia wokovu zaidi – 1 Petro 2:2; na akuwezeshe kumletea wanafunzi wengi – Mathayo 28:16-20
3.⁠ ⁠Ombea kukua na kuongezeka:
•⁠ ⁠Katika huduma yako kwa Mungu – Warumi 12:6-8
•⁠ ⁠Kanisa la Kristo, DPC/PAGT liongezeka kiidadi, kiroho, na kuzidi kuzaa makanisa mengine – Matendo 9:31
4.⁠ ⁠Omba ulinzi wa Mungu juu ya wachungaji wako (DPC/PAGT) na watumishi wote kanisani kuendelea kutumikia wito wao na kujitoa zaidi kwa kazi ya injili – Mathayo 26:31

DPC #21DaysOfPrayerAndFasting #Evangelism #Mission #FaithInAction

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top