SIKU 21 ZA MAOMBI NA KUFUNGA SIKU YA 12

SIKU 21 ZA MAOMBI NA KUFUNGA IJUMAA 16 JANUARI 2026.
๐Ÿ™ MAOMBI KWA AJILI YA JAMII YETU ๐Ÿ™

Leo tunasimama kidete kuwaombea wale walio karibu nasi na wenye uhitaji maalum. Ungana nasi katika mambo haya manne:

1๏ธโƒฃ Wenye Uhitaji Maalum: Tuwaombee Wazee, Wajane, Yatima, na Walemavu. Mungu akutane na mahitaji yao ya kila siku. ๐Ÿ“– Zab 145:14-16, Eze 22:30, Mit 31:20

2๏ธโƒฃ Kanisa Kuhudumia Jamii: Tuombe Mwili wa Kristo upate neema ya kuwagusa wahitaji kwa utukufu wa Mungu. ๐Ÿ“– Kum 15:11, Mit 14:31

3๏ธโƒฃ Mungu Akutumie Wewe: Omba Mungu akufanye kuwa chombo cha baraka kwa jamii inayokuzunguka. Usipite pembeni, kuwa jibu la maombi yao. ๐Ÿ“– Mit 22:2, 21:13

4๏ธโƒฃ Shukrani kwa Wanaojitoa: Tunawashukuru na kuwaombea watu wote na vikundi vinavyojitoa kuhudumia jamii kwa hali na mali. ๐Ÿ“– Yakobo 1:27, Mdo 20:35

Maombi #JamiiYetu #UpendoWaKristo #WenyeUhitaji #MaombiYaLeo

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with