SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – 26/01/2024. UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – 26/01/2024 (Siku ya 19)

SOMO; UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

1. Omba UJAZO wa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha katika kanisa. Mdo 2:1-4 (4) Mdo 1:8.

• Kwenye Makanisa yote yanayoamini WOKOVU na UJAZO wa Roho Mtakatifu

• Kwenye familia zetu (majumbani mwetu).

2. Omba kwa ajili uamsho wa kipekee katika moyo wako. Zab 42:1-2

▪ Omba Mungu akuwezeshe katika kazi yake.

▪ Omba Mungu akupe mwanzo mpya wenye kumpa Mungu utukufu.

▪ Uamsho ndani ya Kanisa na IDARA zake zote. Mdo 4:31

3. Omba kwa ajili ya Karama za Roho Mtakatifu zitende kazi kwa kila mwamini. 1Kor 7:7 & 1 Kor 12; 4-7

• Karama na vipawa Zitumike kwa uaminifu na kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top