SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – JANUARI 25, 2024. KUOMBA KWA AJILI YA WANAUME NA WANAWAKE WA KANISA HILI.

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – JANUARI 25, 2024

KUOMBA KWA AJILI YA WANAUME NA WANAWAKE WA KANISA HILI.

1 Yohana 2:13, Yoeli 2:28, Waebrania 10:25, Tito 2:3-4

  1. Omba kwa ajili ya wanaume katika familia na katika kanisa kuwajibika na kusimama katika nafasi zao.
  2. Omba kwa ajili ya wanawake kuwajibika na kusimama katika nafasi zao kwenye familia na katika kanisa.
  3. Omba kwa ajili ya mafanikio ya wanaume na wanawake kimwili, kiroho, kihisia katika kanisa ili kuleta matokeo chanya kwa familia zao na kanisa kwa ujumla.
  4. Tuombe kwa ajili ya huduma za wanaume na huduma ya wanawake katika kanisa ziweze kuongezeka na kutoa matokea bora.
    – 
    Ombea watu  waweze kujitoa katika kuhudhuria mikutano yao na kutoa msaada wa hali na mali watakapohitaji.
    – Ombea wanaume na wanawake wa kanisa hili waimarike kiroho na kihuduma.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top