DPC LADIES WEEK 8TH – 14TH SEPT 2025/ WIKI YA WANAWAKE DPC

Monday to Friday    = 5pm to 7:00pm

Jumatatu – Ijumaa = 11:00 – 1:00 jioni

Saturday      = 8:30 am to 1pm

Jumamosi   = 2:30 asubuhi – 7:00 mchana

        

Date/Tarehe

Activity/Shughuli

Monday 8th

Jumatatu, 8  

Ebenezer Choir Praise & Worship practice 🎶
Mazoezi ya Kwaya ya wanawake Ebeneza

Tuesday 9th

Jumanne,9

Day of prayer & fasting for all ladies 🙏
Maombi ya Kufunga na kuomba kwa wanawake wote 🙏

Wednesday 10th

 

Jumatano, 10

Discussion – Arising Beyond the Limits 
Majadiliano – Kuinuka Zaidi ya Mipaka

Thursday 11th

Alhamis, 11

Teaching – Walking boldly in our calling 🌟

Mafundisho – Kutembea kwa Ujasiri katika Wito Wetu 🌟

Friday 12th

Ijumaa, 12

Friday Evening Prayers

Maombi ya pamoja

Saturday 13th

(8:30am -1pm)

Jumamosi, 13

(2:30 – 7:00)

  • Shining our light in the community—we will be sharing the Word of God and giving items to those in need around us.
    Kuweka Mwanga Wetu katika Jamii – tutashiriki Neno la Mungu na kutoa vitu kwa wale wenye mahitaji.

Sunday 14th

Jumapili, 14

Thanksgiving Sunday Service

Ibada ya Shukrani ya Jumapili

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top