KAMBI YA VIJANA 2026: Huduma ya Vijana DPC inapenda kuwatangazia vijana wote kuwa
kutakuwa na kambi ya vijana kuanzia tarehe 9-12 Disemba 2026 itakayofanyikia BASECAMP
CHANGANI, KIGAMBONI. Kauli mbiu ni “UMEWEZESHWA KUTUMIKA – 1 PETRO 4:10“
Gharama ya Kambi Utajulishwa hapo baadaye. Uandikishaji na kufanya malipo tunaanza
Jumapili ya leo hadi tarehe 06 Disemba 2026. Jiandikishe mapema ili kufanikisha maandalizi
kwa ubora.
FOMU YA USAJILI – KAMBI YA VIJANA DPC





