HOLY SPIRIT EXPLO 2026: DPC Holy Spirit Explo 2026 Seminar will start from 18th to 24th May 2026, from 5:00 pm to 7:00 pm.
The Bible says ‘But you shall receive power when the Holy Spirit has come upon you; and you shall be witnesses to me in Jerusalem, and in all Judea and Samaria, and to the end of the earth’ Acts 1:8 (NKJV). The seminar will start with a two-days prayer and fasting on 18 & 19th May 2026, from 5:00 pm. Don’t plan to miss it.
MLIPUKO WA ROHO MTAKATIFU: Semina ya mlipuko wa Roho Mtakatifu kwa mwaka 2026, itaanza tarehe 18 hadi tarehe 24 May 2026.
Biblia inasema, ‘Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria na hata mwisho wa nchi,’ Matendo 1:8
Semina itatanguliwa na siku mbili za kufunga na kuomba tarehe 18 na 19 May 2026, maombi yataanza saa 11:00 jioni, usipange kukosa.






