KAMBI YA VIJANA 2023: Huduma ya Vijana DPC inayo furaha kuwatangazia vijana wote kuwa kutakuwa na Kambi ya vijana itakayofanyika VIKINDU kuanzia tarehe 8-10 Desemba 2023.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “KUJENGWA KATIKA KRISTO.” Gharama ya kambi ni shilingi 70,000/- kwa kila mtu. Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 26/11/2023. Jiandikishe mapema na kulipia mapema ili kufanikisha maandalizi kwa ubora kwenye namba hii +255 745 556 007.
KAMBI YA VIJANA 2023

More Events
MAOMBI YA IJUMAA
5:00 pm – 7:00 pm
FRIDAY PRAYER MEETING
5:00 pm – 7:00 pm
WIKI YA FAMILIA 2026
5:00 pm – 7:00 pm
DPC FAMILY WEEK 2026
5:00 pm – 7:00 pm
PRAYER AND FASTING
10:00 am – 1:00 pm





