MID-YEAR PRAYER AND FASTING

We will have a week of prayer and fasting from Monday, July 13th to Saturday, July 18th, 2026, here at DPC. It is a time to seek God’s face for divine enablement to finish the rest of the month this year with a victory. We will be meeting for corporate prayers every day from 5:00 pm to 7:00 pm (MONDAY to FRIDAY) and on Saturday from 10:00 am to 1:00 pm. Be prepared and share the news.
Tutakuwa na wiki moja ya maombi ya kufunga ya katikati ya mwaka, kuanzia Jumatatu tarehe 13 hadi Jumamosi tarehe 18 Julai 2026. Ni wakati mzuri wa kusimama pamoja kama kanisa kuutafuta uso wa Mungu ili tumalize ngwe ya pili ya mwaka kwa ushindi. Tutakuwa tukikutana kuomba pamoja kila siku saa 11 hadi saa 1 jioni (Jumanne – Ijumaa)na Jumamosi saa 4 asubuhi hadi saa 7 mchana.

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with