USIDANGANYIKE. Wagalatia 6:6β10
1. MUNGU HAKIWI (HADHIHAKIWI)
Wagalatia 6:6β7; Mithali 15:3; Waebrania 4:13
- Mungu hawezi kudharauliwa au kubezwa.
- Anaona yoteβya wazi na ya siri.
- Hakuna chochote kilichofichika machoni pake.
2. UTAKACHOPANDA NDICHO UTAKACHOVUNA
Wagalatia 6:7bβ8; Hosea 8:7; Mithali 22:8
- Maisha yanaongozwa na kanuni ya kupanda na kuvuna.
- Kupanda katika mwili huleta uharibifu;
kupanda katika Roho huleta uzima.
3. USICHOKE KUTENDA MEMA
Wagalatia 6:9β10; Waebrania 6:10β11
- Usikate tamaa kwa sababu matokeo yanachelewa.
- Mavuno yapo kwa wakati wake Mungu.
- Mungu hakumbuki vibaya kazi na upendo wetu.
Hitimisho:
π Usidanganyike
π Mungu hakiwi
π Unachopanda ndicho utachovuna
π Endelea kutenda mema, hasa kwa watu wa nyumbani mwa imani
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video





