21 DAYS OF PRAYER AND FASTING: FRIDAY 21/01/2022 PRAYING FOR FAMILIES (MAOMBI YA FAMILIA)

21 DAYS OF PRAYER AND FASTING

WEEK TWO: FRIDAY 21/01/2022:
PRAYING FOR FAMILIES

  1. Pray for your family
    a. That they may know God.
    b. That God will release His Blessings upon your family
    c. That there will be Unity and Peace in the Family.
    d. Pray for families in this nation to be built on the foundation of God’s word Psalm 133: 1-2. 2.
  2. Pray for those who need to get married
    a. That God will bless them with RIGHT PARTNERS.
    b. God will be glorified in their courtship until marriage
    c. Pray for those who are trusting God for the fruit of the womb, for God to bless them with children. Genesis 2:18, Deuteronomy 28:4.
  3. Pray for all marriages in the church
    a. That they may be firm,
    b. Pray for Happiness, Unity, Peace and Love in Marriages. Ephesians 5:22-3.
  4. Pray for children and young people in our families.
    a. That they may grow in God’s Purpose.
    b. Pray for God’s protection over them so that the devil will not destroy their lives.
    c. Pray that they will be of good understanding and pray for God’s blessings upon them.
  5. Pray against the dark forces that cause division in the family.
    a. Quarrels and conflicts in the family
    b. Hatred among family members
    c. Infidelity and lack of trust in the family.

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

WIKI YA PILI: IJUMAA 21/01/2022:
MAOMBI YA FAMILIA.

  1. Ombea familia yako
    a. Kwamba wamjue Mungu.
    b. Kwamba Mungu aachilie Baraka Zake
    c. Kwamba muwe na Umoja na Amani katika Familia.
    d. Ombea familia katika taifa zijengwe kwenye msingi wa neno la Mungu
    Zaburi 133:1-2.
  2. Omba kwa ajili ya wale wanaohitaji kuoa na kuolewa
    a. Kwamba Mungu awabariki na awape WENZA SAHIHI.
    b. Mungu atukuzwe katika maisha yao ya uchumba hadi ndoa
    c. Omba kwa ajili ya wale wanaomwamini Mungu kupata Watoto, Mungu awabariki na watoto.
    Mwanzo 2:18, Kumbukumbu la Torati 28:4.
  3. Ombea ndoa zote katika kanisa
    a. Kwamba ziwe imara,
    b. Omba Furaha , Umoja, Amani na Upendo katika ndoa.
    Waefeso 5:22-31.
  4. Ombea watoto na vijana katika familia.
    a. Kwamba wakue katika Kusudi la Mungu.
    b. Omba ulinzi wa Mungu juu yao ili shetani asiharibu maisha yao.
    c. Tuombe akili njema na baraka za Mungu juu yao.
  5. Omba kinyume na nguvu za giza zinazosababisha mgawanyiko katika familia.
    a. Ugomvi na migogoro katika familia
    b. Chuki ndani ya Familia
    c. Kukosa uaminifu katika familia.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top