DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WEEK 3: MONDAY 24/01/2022 – TOTAL COMMITMENT (KUJITOA KIKAMILIFU.)

DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WEEK 3: MONDAY 24/01/2022 – TOTAL COMMITMENT

  1. Ask the Holy Spirit to help you to be fully committed to God.
    • Pray for the love of God; to love God with all your heart, mind, and strength, and walk in all His ways.
    • Pray for the Holy Spirit to help you give yourself wholeheartedly; not serve two masters, but to serve God and Him alone. Deuteronomy 10: 12-13, Luke 4: 8 Romans 8: 38-39, Galatians 2:20
  2. Pray for every DPC member and servant to be fully committed to God, His church, and to each other; to love God and to serve Him zealously.
    • Pray for each member to be fully committed to God, and to not be lukewarm Christians – Joshua 24:14-15
    • Pray for each member to dedicate oneself to God and the church in serving God’s purpose. Romans 12:1-10, Acts 2:42
  3. Pray for all Departments in our church and PAGT as a whole (Women, Youth, Men, Children, Mission, Education, Community Development).
    • Pray for efficiency and excelence in execution. Pray for the directors of all the departments from the church to national level; for the Holy Spirit to give them wisdom and knowledge for ministry.
    • Pray for every department to grow and bear fruit worthy of building up the body of Christ.

• Pray for all departments; for people to serve God wholeheartedly and diligently. Colossians 3:23-24, Titus 3: 8

DPC-SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

WIKI YA TATU:JUMATATU 24/01/2022 KUJITOA KIKAMILIFU.

  1. Omba Roho Mtakatifu akusaidie ujitoe kikamilifu kwa Mungu.
    ▪️Omba upendo wa Ki Mungu ili umpende Mungu kwa moyo wako wote, na akili zako zote na nguvu zako zote, utembee katika njia zake zote.
    ▪️Omba Roho Mtakatifu akusaidie ujitoe kutumika kwa moyo wako wote, usitumikie mabwana wawili, umtumikie Mungu peke yake. Kumbukumbu la Torati 10:12-13, Luka 4:8 Warumi 8:38-39, Wagalatia 2:20
  2. Ombea kila mshirika na Watumishi wote wa DPC kujitoa kikamilifu kwa Mungu na kwa kanisa lake na kila mmoja kumpenda Mungu na kumtumikia bila ulegevu.
    ▪️Ombea kila mshirika ajitoe kwa Mungu kikamilifu na wasiwe wakristo ambao ni vuguvugu. Joshua 24:14-15
    ▪️Omba kila mshirika ajitoe kwa Mungu na kwa kanisa akitumikia kusudi la Mungu.
    Warumi 12:1-10, Matendo 2:42
  3. Ombea Idara zote katika kanisa letu na katika PAGT kwa ujumla (Wanawake, Vijana, Wanaume, Watoto, Umisheni, Elimu, Maendeleo ya Jamii).
    ▪️Omba ufanisi na ubora katika utendaji kazi. Ombea wakurugenzi wa idara zote kuanzia ngazi ya kanisa hadi taifa Roho Mtakatifu awape hekima na maarifa jinsi ya kufanya huduma.
    ▪️Ombea kila idara ikue na kuzaa matunda stahiki kwa kujenga mwili wa Kristo.
    ▪️Ombea idara zote watu wamtumikie Mungu kwa moyo na kwa bidii sana.
    Wakolosai 3:23-24, Tito 3:8

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top