MKESHA WA VIJANA – TAREHE 14 MEI 2021

Kutakuwa na mkesha wa vijana wote ijumaa tarehe 14/5/2021, kuanzia saa 3:30usiku hadi saa 11:00 alfajiri. Utakua ni mkesha wa kusifu na kuabudu, maombi na neno.Neno litazungumzia mada isemayo “Asiyestahili, Anastahili” 2 Timotheo 2:20-21. Pia kutakua na kucheza, maigizo na mashairi na burudani nyingine.Kijana usikose na ukaribishe wengine.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top