MWANAUME KUWA MFANO BORA

MWANAUME
Baba, Kaka, Babu, Mjomba, Baba mdogo

  1. Mwanaume anafanana zaidi na mwanamke kuliko walivyo tofauti

Mwanaume anapaswa kundi katika nafasi yake ili mambo yaende sawa

Kwa sababu ya umuhimu amekuwa akipambana na vita vyingi

  1. Wanaume wa kiyahudi kule misri
    Kutoka 1:22
  2. Samsoni – Delilor
    Waamuzi 13:14
  3. Yesu
    Isaya 9:6
    Watoto wa kiume wa kafa
  • Huvyo ni muhimu kwa mwanaume kufanikiwa,
    kusimama katika nafasi yake

ADAMU
Mwanzo 2:18-25, 3:1

Mtu wa kwanza/Mwanaume

Baba wa kwanza

Mume wa kwanza

Hakuwa Binadamu mwingine wa kwanza alikuwa na maagizo ya Mungu

Mkunja wa kwanza

Hakuwahi kuwa mtoto

Ukiwa katika mazingira mapya Mungu ni kimbilio/msaada

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na mfano msaada uonekano tele wakati wa mateso

Atinisikiliza badala ya maagizo ya Mungu

Alikuwa mbali na mke wake

Kauli karibu na mkle ni ulinzi

Ni rahisi kumshinda mtu mmoja ni vigumu kumshinda mtu mmoja ni vigumu kuwashinda watu 2

Tuwe karibu na wake zetu

YUSUFU
MATHAYO 1:19

Mume wa Mariamu

Mungu alimuamini kuwa Baba mlezi wa Yesu

Mtu wa kwanza wa pekee kuwa na mke alikuwa na mimba ya Roho Mtakatifu

Alikuwea na nidhamu ya kutosha kutomgusa Mariamu hadi Yesu alizaliwa

Alikuwa ni muhimu kwa malezi ya Yesu katika utoto wake

MASOMO

KUSIKILIZA SAUTI YA MUNGU

NIDHAMU

HAKI

AYUBU
AYUBU 1:1

Mkamilifu

Mwelekevu

Alitoa sadaka kwa ajili ya watoto wake

Ana sifa ya kipekee kuliko wengi katika Biblia

LESSONS

MHESHIMU MUNGU

EPUKA UOVU

HITIMISHO

1 WAKORINTHO 10:6,11

1 WAKORINTHO 16:13

Kuwa mwanaume fanya kiume

Mambo haya yameandikwa kwa mifano kwetu ili tujifunze tusikwae katika shida zile zile za watu wa kale

KUTOKA 1:22
22 Kisha huyo Farao akawaagiza watu wake, akisema, Kila mtoto mwanamume atakayezaliwa mtamtupa mtoni, na kila mtoto mwanamke mtamhifadhi hai.

ISAYA 9:6
6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

MWANZO 2:18-25
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

19 Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake

20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya

MATHAYO 1:19
19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

AYUBU 1:1
1 Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu.

1 WAKORINTHO 10:6,11
6 Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.

11 Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.

1 WAKORINTHO 16:13
13 Kesheni, simameni imara katika Imani, fanyeni kiume, mkawe hodari.

1Wakoritho 13:4
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.

×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top