SIKU YA 17 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA

WIKI YA TATU – JUMATANO TAREHE 25/1/2023

OMBI KUU: USHIRIKA/USHIRIKIANO

  1. Omba Mungu akupe ushirika mzuri  na watu, Kazini, kwenye  familia yako  na kwenye jamii yako. 
    Omba kibali cha Mungu katika maisha yako 
    Omba Mungu akuinulie watu sahihi ili kufikia malengo yako.(Mwanzo 39:21; 1Samweli 2:26).

3. Omba Mungu aachilie kibali juu ya kanisa la DPC na PAG (T) kwa ujumla, Mungu ainue watu sahihi ili mwili wa Kristo ujengwe.

Omba kibali juu ya Idara zote 
Omba Mungu atukutanishe na watu wenye malengo na maono kama sisi. (Kutoka 4:10-16).

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top