Maombi ya Mfungo Siku ya 19, Ijumaa 24 Januari 2025 MWABUDU MUNGU NA KULIINUA JINA LAKE 2. Msifu kwa kutaja majina yake kama vile; El-Shadai (Mungu anayejitosheleza, Mwenye nguvu..) Yehova-Yire (Mungu…
Read Moredpc
SIKU 21 ZA MAOMBI NA KUFUNGA : Alhamis Tarehe 23 Januari 2025 – MAOMBI YAKO BINAFSI.
1. Mwombe Mungu akupe afya njema na ulinzi dhidi ya mashambulizi yote ya adui Shetani. Kemea roho za ajali, majanga na magonjwa. Zaburi 91:1-16, Isaya 54:17, Zaburi 34:7, Zaburi 140:4 2. Ombea mipango na mafanikio…
Read MoreSIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA. 22 JANUARI 2025 JUMATANO – KUOMBEA TAIFA LETU NA MATAIFA MENGINE.
2. Ombea mataifa yote duniani na Afrika ambayo yatafanya uchaguzi mwaka huu. Mithali 29:2,12,26; Zaburi 122:6; – Ombea uchaguzi wa haki na amani. Zaburi 2:1-11 – Kemea roho zinazosababisha machafuko na mauaji…
Read More21 DAYS OF PRAYER AND FASTING 21ST JANUARY 2025 – PRAYERS FOR THE CHURCH OF CHRIST IN TANZANIA AND AROUND THE WORLD.
PRAYERS FOR THE CHURCH OF CHRIST IN TANZANIA AND AROUND THE WORLD. 1. Pray for the church (body of Christ) of Tanzania to preach The Gospel of Salvation and Standing…
Read MoreSIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA 21 JANUARI 2025 – MAOMBI KWA KANISA LA KRISTO TANZANIA NA DUNIANI KOTE.
1. Ombea kanisa (mwili wa Kristo) la Tanzania ili kuhubiri Injili sahihi ya wokovu na kusimama mahali palipobomoka kama sauti ya kitume na kinabii likitimiza wajibu wake kama nuru na chumvi ya…
Read More21 DAYS OF PRAYER AND FASTING: MONDAY, 20 JANUARY 2025 – PRAYING FOR THE PROSPERITY OF CHURCH MEMBERS, THE LOCAL CHURCH, PAG (T) AND THE BODY OF CHRIST.
21 DAYS OF PRAYER AND FASTING: MONDAY, 20 JANUARY 2025PRAYING FOR THE PROSPERITY OF CHURCH MEMBERS, THE LOCAL CHURCH, PAG (T) AND THE BODY OF CHRIST. 1. Pray for the…
Read MoreSIKU 21 ZA MAOMBI NA KUFUNGA: JUMATATU 20 JANUARI 2025 – KUOMBEA MAENDELEO YA WASHIRIKA, KANISA LA MAHALI, PAG (T) NA MWILI WA KRISTO
SIKU 21 ZA MAOMBI NA KUFUNGA: JUMATATU 20 JANUARI 2025KUOMBEA MAENDELEO YA WASHIRIKA, KANISA LA MAHALI, PAG (T) NA MWILI WA KRISTO.
Read More21 DAYS OF PRAYER AND FASTING SATURDAY, JANUARY 18, 2025, PRAY FOR PARTNERSHIP AND COLLABORATION
PRAY FOR PARTNERSHIP AND COLLABORATION Session one: Session two: 4. Pray for God to connect PAGT and DPC church with other partners in different parts of the world who have…
Read More








