DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING TUESDAY 11/01/2022: TRANSFORMATION

  1. God is doing great things and it is time to do great things trough God who is our strength.
  • Pray and ask God to transform your heart, and your mind. Ask that he enlighten your spiritual eyes so that you are able to see the great things that God has purposed to do.

    – Ask God to transform us and make us new wineskins (vessels). All things are possible if we align with the word of God
    Matthew 9:14-17; Romans 12:1-2; Ephesians 4:23

    2. Pray for DPC Church

    -Pray for transformation at DPC. Pray for every member to be transformed into the likeness of God.
  • -Pray for DPC leadership; pastors, church elders, and the different ministry leaders. Pray for the spirit of wisdom and understanding so that they will perfect the will of God for DPC.
    Ephesians 1:17-18; Colossians 1:9-10


    3. Pray for all leaders of the Pentecostal Assemblies of God Tanzania
  • Ask the Holy Spirit to enlighten their inner eyes and ears to be able to know God’s will; and to see the great things that God has purposed to do in this season.
  • Ask God to do a new thing in the church of DPC and PAG Tanzania as a whole.
  • Ask God to do great and mighty things which we do not know according to His will in the PAG Tanzania church
    1 Corinthians 2:9-10; Jeremiah 33:3

    JUMANNE 11/01/2022: MABADILIKO.
  1. Ni wakati wa Mambo makubwa, ni wakati wa kufanya Mambo makubwa.

Omba Mungu abadilishe moyo wako, fikra zako na afungue macho yako ya kiroho, ili uweze kuona na kuelewa Mambo makubwa Mungu aliyoyakusudia kuyatenda.

Omba Mungu atubadilishe tuwe viriba vipya ( vyombo vipya) katika Yeye atutiaye nguvu. Mambo yanawezekana tukifuata maongozi ya Mungu

katika neno lake. Omba Mungu afanye jambo jipya katika maisha yako
Mathayo 9:14-17. Warumi 12:1-2. Waefeso 4:23.



2. Omba kwa ajili ya kanisa la DPC
Ombea mabadiliko chanya katika kanisa la DPC. Omba kila mushirika abadilishwe na kufanana na kristo.

Ombea uongozi wa DPC, wachungaji, wazee wa kanisa, na viongozi wa idara mbalimbali. Omba roho ya hekima na maarifa ili wajue yaliyo mapenzi kamili kwa ajili ya Kanisa la DPC
Waefeso 1:17-18. Wakolosai 1:9-10.

3. Ombea viongozi wote wa kanisa la Pentecostal Assemblies of God Tanzania

  • Omba Roho Mtakatifu afungue macho na masikio ya ndani kujua yaliyo mapenzi ya Mungu na kuyaona mambo makubwa Mungu aliyoyakusudia kuyatenda kwa wakati huu. Omba macho yao yatiwe nuru
  • Omba Mungu afanye jambo jipya katika Kanisa la DPC na katika Kanisa la Pentecostal Assemblies of God Tanzaniia kwa ujumla .
  • Omba Mungu atende mambo makubwa tusiyoyajua sawasawa na mapenzi yake katika kanisa la PAGT
    1 Wakorintho 2:9-10; Yeremia 33:3.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top